Watanzania jiungeni zaidi kibieshara na nchi za Kiarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania jiungeni zaidi kibieshara na nchi za Kiarabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mandago, Oct 2, 2010.

 1. M

  Mandago JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 238
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu.

  Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana.
  dalili kubwa ya haya nayoandika ni kuona baina ya waarabu na waafrika kwa idadi kubwa sana huko Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, Zaire na Comoros...... kuliko makabila mengine ya kigeni yote.

  Mimi nawajua waarabu na mapenzi yao makubwa sana kwa ndugu zao waafrika, mimi naishi nao hapa Oman na mimi mwenyewe ni Mwarabu niliyozaliwa Tanzania.

  Team yeyote ya mpira ya Kiafrika ikiwa inacheza na timu hata kama ya Asia kama vile Japan au Korea au inchi yeyote ile wote waarabu wanaishangilia timu ya kiafrika tu na ikishinda wanajiona kama wao ndio walioshinda.

  Na pale Ghana ilipo tolewa na Urugwai katika world cup ya huko South Africa kwa dhuluma ilikuwa kama vile kuna kilio kubwa hapa Muscat na Dubai.​
   
 2. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Mods, mnaweza kuihamishia hii kwenye jukwaa la biashara?

  Mkuu Mandago, binafsi nahitaji kupata mwenyeji Arabuni anayefahamu kiswahili na Kiingereza vema. Nipo Dar kwa sasa.

  Aidha, natafuta wadau Turkey, Australia, Japan, China na India. Nataka kutafuta sehemu ninakoweza kuwekeza ama kupata washirika ktk biashara.

  If I find anyone in these countries tunaweza kupanga namna ya kwenda mbele zaidi. Naamini kwa pamoja tunaweza kufanya mambo makubwa
   
Loading...