Watanzania iweje ndege ya Uganda ichelewe masaa mengi kisa mafuta kwenye uwanja wenu wa kimataifa? Mjitafakari kwa kweli

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,401
Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku.
Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana

Uganda pic

The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport. PHOTO/ FILE

Passengers aboard Uganda Airlines plane were last evening delayed at Julius Nyerere International Airport, Dar es Salaam in Tanzania for hours after it ran out of fuel.

The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport.

“Allow us to apologise for the prolonged delay at Julius Nyerere International Airport, Dar es Salaam that occurred yesterday ( July 12) on our flight UR 321. Our service was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft caused by our supplier in Dar es Salaam,” reads part of the statement issued by the Airlines management on Tuesday morning before adding that the matter has been taken up with supplier “to ensure a repeat of the same does not occur in future.”

Tulikua tunayachemsha manaa yaliganda kwenye mapipa. Hakuna tatizo wamefurahia upepo murua wa Dar unaotoka Bahari ya Hindi huku wakishushia na alkasus
 
rubbish, how often does this occurs? Maybe they have their internal differences on the settlement of the bills(Client Vs Creditor).Don't judge basing on what you hear from one side

Hehehe!!! Mbona umepata mchecheto, hapa tunajadili taarifa kama zilivyo, wewe kama unazo tofauti basi shusha humu lakini sio unawehuka utadhani mkurugenzi wa uwanja huo wa "KIMATAIFA"....unachelewashaje ndege na abiria masaa mengi kisa mafuta...nyie ndio wabongo kweli....
 
"... caused by our supplier in Dar es Salaam" Uwanja wa ndege unaingia vp hapo?

Ndege ngapi zimeshindwa kuruka kwa sababu hiyo? Kwanini wao?

Wakenya mna obsession na bongo wakati wabongo hatuna time kabisa na nyie. Pambaneni na hali zenu.
 
Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku.
Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana

Uganda pic

The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport. PHOTO/ FILE

Passengers aboard Uganda Airlines plane were last evening delayed at Julius Nyerere International Airport, Dar es Salaam in Tanzania for hours after it ran out of fuel.

The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport.

“Allow us to apologise for the prolonged delay at Julius Nyerere International Airport, Dar es Salaam that occurred yesterday ( July 12) on our flight UR 321. Our service was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft caused by our supplier in Dar es Salaam,” reads part of the statement issued by the Airlines management on Tuesday morning before adding that the matter has been taken up with supplier “to ensure a repeat of the same does not occur in future.”

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Ningeleta ila kwakuwa umenijibu kwa matusi basi sina cha kujadiliana na wewe mkuu, am too old for this shit,nakutakia siku njema.
Pole mkuu, my statement was coz you took me by surprise, with the current aviation technology in airports ndege haziwezi kuland kama there is another aircraft on the runway unless you are talking about a non-towered airport.
 
Those are emergency landings. Ukosefu wa mafuta si suala la dharura
Sio emergency landing mkuu, yani ndege ipo kwenye run way (sio tarmac) nataka kupaa alafu ndege nyingine imeshapewa clearance ya kutua so zinakutana moja ipo chini na nyingine inataka kutua kwenye runway hiyo hiyo. Hii imetokea sana ulaya ndege karibu zigongane
Ukiingia google utasoma zaidi kuhusu hivi visa
 
Back
Top Bottom