Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,677
- 26,997
Hivi swala la mtu kuwa presdential material linazingatia utendaji kazi wa mtu au muonekano??Mosi ,Mh.January Makamba hana kosa kwa sababu zifuatazo:
-Kihistoria amejilimbikizia maadui ndani ya CCM na nje yake
-Wizara aliyopo ni "pasua kichwa"...yeyote awaye basi hajiepushi na lawama kwa sababu ya "zigo" la wizara hiyo.
Pili , January Makamba anabaki kuwa "presidential material"....hili linazidi kumtamalakisha maadui lukuki.
Mwisho kabisa ,January Makamba ni mwanasiasa....na kwenye siasa kuna "tarnishing of image" na kwa hili JM hana kosa lolote lile.
#Siempre JMT🙏
Makamba ni presdential material?😂