HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 108
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.