Watanzania hatuwafiki wakenya kwenye uandishi wa habari

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,950
Points
2,000

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,950 2,000
Waandishi wa kitz wamejaa ubabaishaji makasuku nakusifu jiwe ,nothing new, Nani anayebisha kwa hili
Hata watu wa form six Tanzania hawashindi watu wa class 2 Kenya kwa uandishi wa insha. Nani anayebisha kwa hili PIA?
 
mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
10,837
Points
2,000

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
10,837 2,000
Tz tuko bado dictatorship Kama Nyerere alivyosema miaka ya 90s baada ya mwinyi kuendeleza mfumo wa ufisadi na one party rule. Anaye kataa aniquote nimletee ushahidi.
 
cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Messages
519
Points
500

cordoba

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2017
519 500
Hata watu wa form six Tanzania hawashindi watu wa class 2 Kenya kwa uandishi wa insha. Nani anayebisha kwa hili PIA?
Out of topic,bro, Mimi nasema kwa evidence niliangalia channel pale Kenya sihitambui kwa jina ,nikaona waandishi wanadadisi mambo ya serikali wakiwa free , kitu ambacho huwez ona Tz ,
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,243
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,243 2,000
Wanafiki na vikaragosi vya nduli na dikteta wa Ikulu mmoja tunaye humu Pascal Mayalla yuko busy kusaka TEUZI.
Dah! ila huyo Pascal Mayalla ni nguli ambaye nilikua napenda sana kufuatilia uandishi wake humu, na hata kwenye Youtube, nakumbuka Magufuli akisema hilo jina maana yake ni 'njaa' kwa Kisukuma, hehehe Anyway sijui nini kimemuingia maana siku hizi ni full misifa, amekua kama walivyokua waandishi wetu wa KBC enzi za rais Moi.
Nahisi alianza kuporomoka ile siku alialikwa bungeni na kupigwa mikwara.
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,074
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,074 2,000
Nakubaliana nawe Mkuu Pascal Mayalla ni mmoja wa waandishi mahiri wa Tanzania, ana kipaji kikubwa sana cha uandishi. Tatizo kaamua kuweka pembeni umahiri wake na kuweka mbele tumbo lake ili kuganga njaa. Na akishapata teuzi ndiyo umahiri wake utapotea kabisa.

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
60,615
Points
2,000

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
60,615 2,000

Unataka kusema anatembelea nyota ya "Mtatiro"?
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,243
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,243 2,000
Pia tumewazidi kwa Polisi wetu kubobea kwenye Siasa.
Hiyo kweli, nilishangaa sana kwa mkuu wa polisi wenu, kusimama na kuhutubia kikao cha kisiasa cha chama, na kusifu CCM, huku amevalia sare kabisa za polisi. Ukweli polisi wetu Kenya sio kwamba wao ni bora sana, lakini hili la kuhutubia mkutano wa kisiasa na kusifia chama halijawahi kutokea huku, sijaliskia kwengine. Check hii video niliiona kwenye uzi fulani humu JF

https://www.jamiiforums.com/data/video/1051/1051539-05de55cb2d1da01c8086c2a9b72a2240.mp4
 
Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
60,615
Points
2,000

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
60,615 2,000
Hiyo kweli, nilishangaa sana kwa mkuu wa polisi wenu, kusimama na kuhutubia kikao cha kisiasa cha chama, na kusifu CCM, huku amevalia sare kabisa za polisi. Ukweli polisi wetu Kenya sio kwamba wao ni bora sana, lakini hili la kuhutubia mkutano wa kisiasa na kusifia chama halijawahi kutokea huku, sijaliskia kwengine. Check hii video niliiona kwenye fulani humu JF

https://www.jamiiforums.com/data/video/1051/1051539-05de55cb2d1da01c8086c2a9b72a2240.mp4
Kwahiyo umekubaliana na mimi kuna mambo tumewazidi? Tumewazidi pia kuwa na watu wasiojulikana... hawa wanateka watu na kuwapoteza afu waziri anasema wamededi baadae anasema tumemuelewa vibaya...
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,074
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,074 2,000
Hapana mtatiro aliwekwa lupango kwanza alivyotoka kule akanywea sana kukawa na tetesi wamemnanihii na kumrecord muda si mrefu akaamua kumkumbatia nduli na dikteta wa Ikulu. Sidhani kama mayalla atafuata nyayo za kuwekwa lupango.

Unataka kusema anatembelea nyota ya "Mtatiro"?
 
Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
60,615
Points
2,000

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
60,615 2,000
Hapana mtatiro aliwekwa lupango kwanza alivyotoka kule akanywea sana kukawa na tetesi wamemnanihii na kumrecord muda si mrefu akaamua kumkumbatia nduli na dikteta wa Ikulu. Sidhani kama mayalla atafuata nyayo za kuwekwa lupango.
Doh kumbe walimfumua marinda... maskini kijana wa watu
 
Forum statistics

Threads 1,353,239
Members 518,297
Posts 33,075,504
Top