Watanzania hatupendani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania hatupendani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Oct 12, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kuangalia kwa muda mrefu kuhusu suala la upendo (sio wa ku-do) baina ya wa-TZ na wa-TZ nimegundua hatuna upendo wa kweli bali ni chuki, wivu kupondana, kukatishana tamaa, kurogana, kupigana vijembe, kutothamini vya nyumbani na kusemeana vibaya

  Hivi tatizo hasa ni nini? mbona wenzetu wa mataifa mengine wana upendo wao kwa wao na kwa nchi zao kuliko sisi

  angalia sehemu nyingi tu utaliona ili watu wanapondea sana mastaa wetu, wanapondea timu zetu za mpira, watangazaji, bidhaa za nyumbani, miziki au movie za nyumbani, wanapondea siasa ya nyumbani, wanapondea harusi zetu, wanaponda magari ya jirani zake ni chuki kwa kwenda mbele tuna tatizo gani?
   
 2. S

  Subira Senior Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hili nikweli kabisa watanzania hata wakipata post kubwa hawataki kuwavuta wenzao tofauti sana na west africans na kadhalika, roho zetu masikini kabisa ndio maana maendeleo yetu nayo yanachelewa sana na tuko masikini wakati tuna utajiri mkubwa, ingekuwa tunapendana tungeoneana huruma, na wenye madaraka wangeapanga kwa faida ya watu wetu ila roho mbaya imetawala hasa wenye mamlaka. naona mwelekeo wetu ni mbaya sana amani kutoweka.
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh hapana
  usiwe una generalize mambo bwana....sometimes yes km mtangazaji,timu ,movie,bidhaa sjui..etc km ni mbaya lazima tu vitapondwa from what i know si vyote vnapondwa mengine yanasifiwa na wengine wanasifiwa pia sema ukifanya vbaya lazim ukweli usemwe......HAIWEZEKAN UKASIFIA TU KITU JUST BCZ KIMETOKA NYUMBANI HATA KM NII KIBAYA..mbaya zaidi uwezo wa kufanya hivyo vitu viwe vya ukweli upo..ni watu tu wanashusha ubora wa vitu na mambo kwa maslahi yao..sasa km ukitaka ufumbe tu macho na kusemayes yesssssss ni nzuri...mmh hapana .ukweli ni mzuri,kuponda ni kuzuri ili wahusika katika jambo aua kitu fulani wajirekebshe...
  na wa watanzania kuwa na fitna,chuki,majungu,kurogana ..I ISSUE YA WATZ PEKE YAO...NI KILA NCHI DUNIAN AU NTAJIE NCHI MOJA ISOKUWA NA SWAGA IZO..halafu si watanzania wote wana hizo mambo ni baadhi..umenielewa >???
  nawasilisha...karibu lunch ugali na lidelele!!!!!!!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tunapenda sana tu
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  nadhani muda wa watanzania kuonyeshana upendo wa kweli ni octoba31 inabidi tuungane kumpa SLAA kura zetu
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  najua hapo nimekugusa kwani inaonyesha nyie ndio wadau wakuu wa kupondea wenzao, tunajua makosa yapo lakini watanzania wanaponda kwa kubomoa sio kwa kujenga mtu akijaribu kitu badala ya kupewa moyo anashambuliwa utadhani alitakiwa kuanza kama J-Lo siku ya kwanza tu hapana tujifunze kupeana support na kwenye makosa tukosoane kwa minajili ya kujenga sio unasema tu ili mradi kupondea utasikia wengine kwa mfano anasema mie Gea Habib wa Clouds FM simpendi halafu kesho unamkuta kavaa head fone anamsikiliza mimeno nje kwa nn tuko hivi?

  ukifanikiwa unasemwa ukilost unasemwa ukiwa masikini ndio mpk utaongezewa na kurogwa kabisa usipate hata siku moja

  Kwenye kazi hatupendani, wala hatutafutiani njia za kusonga mbele utakuta tofauti kabisa na nchi za West Afrika
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  tuna ile ya kuchekeana usoni tu kumbe moyoni mtu anatamani akurarue kama chui
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi binafsi nawapenda sana waTZ. sijui wengine, maana mimi sio msemaji wao
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Thanks mkuu FD hapo wala hujakosea nimekosa tu kile kithanks leo ningekuwekea maana kwa walio Europe ni kama sasa hivi wamegraduate kutoka kutopendana to kuogopana,mtu akijua wewe ni mbongo anakupita mbali utafikiri kaona mchawi aliyemuulia familia yake.
   
 10. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  sijui tuna matatizo gani mie nashindwa kuelewa kabisa
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahaha!haha!!!! sawasawa ..gea habibu siyo?
  sssaaaaaaaaaaaaaaawa!!!!!!!
  sna cha kubisha ila tu skubalian na ilo jambo narudia tena...I TABIA AU KASUMBA SI YA WATANZANIA PEKE YAO ....cz kuna wengne wa tz lakin hawana tabia i afu kuna wengine ambao si watanzania WANA I TABIA..KWA IYO KAKA I NI TABIA YA MTU BINAFSI HAIJALISH MKENYA,MTZ, MMAREKAN,MFARANSA AU MWARABU...ny way tukubali kutokukubaliana ktk ili...!!!!!
  av a nce day
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tunapendana kudinyana tu
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na kuombana vocha za simu
   
 14. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  ila kupeana madeal ya pesa tunakimbiana
   
 15. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni chuki na roho na husda mbaya ndizo zinazotusumbua. Kwa kifupi ni umasikini wa kukosa ukarimu ndio tatizo letu wabongo.
  Kinachotufanya tuchukie bidhaa/kazi za nyumbani ni ile kasumba ya kila kitu kizuri kinatoka ulaya. Unazikumbuka kauri hizi:
  -viazi ulaya
  -mapapai ya kizungu
  -inzi wa kizungu
  -mapera ya kizungu
  -ndizi za kizungu


  Ni kama vile French Assimilation Policy ilotawala kule afrika magharibi. Enzi hizo kila kitu kizuri ni cha ufaransa.
  Juzi juzi mtanzania mwenzetu katangaza kuinunua timu ya liverpool wabongo badala ya kupongeza, wanaponda
   
 16. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  sikubaliani na wewe, Ukweli ni utabaki palepale kuwa wantanzania kwa ujumla ni watu tusiokuwa na upendo wa sisi kwa sisi,chuki,wivu na kufurahi unapoona mwenzio anaharibikiwa,kutakuthamini vya wenzako hata kama ni vizuri.....nimeona jinsi watz walivyo si ndani ya nchi au nje ya nchi.
  kweli tuna sio wote ila sio siri tuna roho za ajabu sana.
   
Loading...