MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,067
- 709
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.
Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.
Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.

HUDUMA ZA JAMII
|
ELIMU
|
AFYA
|
MIUNDO MBINU
|
MAAMZI MAGUMU:
|