Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Nimewekeza zaidi ya mil 80.
Yem
Screenshot_20220828-072827_Skype.jpg
 
Bado unaendelea kuzi-mine?
Yap bado nazi mine!
* Pi nina coins 4,348 (ni miaka 3 sasa)
*Bee coin 3,740
*Timestope 6,100
*HBCU 6,400

Kwenye hizi mambo inahitaji uvumilivu sababu ni projects za watu zinaenda kwa hatua. Na zote hizo nimesha pass KYC. nakua nafanya kama game kila siku na mine.

Lets hope for the best hakuna kitu rahisi..zikiwa successful kwenye market itakua vizuri zaidi
 
Zote hizo coin 🪙 zimeshuka thamani
SIO KWELI.

Bei ya Bitcoin on August 2022 ilikuwa ikicheza kwenye $20K, na sasahivi price ya Bitcoin ni zaidi ya $40K kwahiyo ni kweli kama kuna mtu alinunua hapo August 2022 akazisahau kidogo basi leo pesa yake imejidouble tayari. That means kama uliwekeza Tsh 100M sasahivi una 200M+, kama uliweka buku basi una buku mbili.

1704634127401.png
 
SIO KWELI.

Bei ya Bitcoin on August 2022 ilikuwa ikicheza kwenye $20K, na sasahivi price ya Bitcoin ni zaidi ya $40K kwahiyo ni kweli kama kuna mtu alinunua hapo August 2022 akazisahau kidogo basi leo pesa yake imejidouble tayari. That means kama uliwekeza Tsh 100M sasahivi una 200M+, kama uliweka buku basi una buku mbili.

View attachment 2864600
1. Matic Polygon (1.3 usd per coin)

2. Enjin (1.7 usd per coin)

3. Cardano (2.22usd per coin)

4. Fantom (2.22usd per coin)

5. Zilliqa (0.1 usd per coin)
Mtoa mada alitushawishi tuwekeze kwenye hizi sarafu embu angalia na hizi
 
1. Matic Polygon (1.3 usd per coin)

2. Enjin (1.7 usd per coin)

3. Cardano (2.22usd per coin)

4. Fantom (2.22usd per coin)

5. Zilliqa (0.1 usd per coin)
Mtoa mada alitushawishi tuwekeze kwenye hizi sarafu embu angalia na hizi

Sawa boss, huu ni uchambuzi mdogo tu nimeufanya via CoinMarketCap...

1. Matic Polygon (August 2022); ✅✅
  • Low Price: $0.78 (proof) | High Price: $0.95 (proof)
  • Price iliongezeka kutoka $0.78 kati ya August 2022 hadi $1.5 February 2023 (proof). Hii inamaana kwamba kama mtu alinunua kuanzia hapo August 2022 kwa hiyo bei, hadi Feb 2023 tayari alikuwa na profit ya 2x.

2. Enjin (August 2022); ❌❌
  • Low Price: $0.51 (proof) | High Price: $0.69 (proof)
  • Uwekezaji kwa Enjin umekuwa ni loss since hapo August 2022. Maana highest price ya mwisho ya Enjin ni hiyo ya $0.69 ambayo ilionekana 8/15/2022, leo hii price ni $0.24 (proof) kwahiyo ni HASARA.

3. Cardano (August 2022); ✅✅
  • Low Price: $1.30 (proof) | High Price: $2.86 (proof)
  • Price iliongezeka kutoka $1.30 kati ya August 2022 hadi $2.86 kwa kipindi cha mwezi mmoja (proof). Hapa sasa depends ulishikilia kwa muda gani, ila kama ni kwa huo mwezi tu ulipata faida ya 2x na zaidi ($1.3 - $2.8), vinginevyo kuna waliopata loss kwa kuendelea kuhold zaidi ya mwezi mmoja.

4. Fantom (August 2022); ✅✅
  • Low Price: $0.27 (proof) | High Price: $0.40 (proof)
  • Price iliongezeka kutoka $0.27 kati ya August 2022 hadi $0.60 February 2023 (proof). Hii inamaana kwamba kama mtu alinunua kuanzia hapo August 2022 kwa hiyo bei, hadi Feb 2023 tayari alikuwa na profit ya at least $0.3 per coin.

5. Zilliqa (August 2022); ❌❌
  • Low Price: $0.036 (proof) | High Price: $0.047 (proof)
  • Zilliqa pia imeleta loss. Maana tokea the highest price ya $0.047 (8/13/22) imekuwa ikienda chini hadi leo ipo $0.021 (proof) kwahiyo hapa naona wengi walikula HASARA aise.

Hitimisho;
3 kati ya 5 ya hizi coins naona zilizalisha faida kwa wengi, hizo 2 ni hasara tu. Ingawa faida au hasara inategemeana na wakati na bei utakayouza baada ya kununua. Jamaa alijitahidi, sema tu ndo vile kwenye watchlist yake alisahau coins nyingine za faida kama XRP, DOGE, TRX...

All in all, uchambuzi wa mtu mwingine unaongezea na uchambuzi wako ndio unaweka pesa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom