Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani?

Watu wengine bana. . . .wakisikia CHADEMA wanawashwa saa hiyohiyo na wanataka wakunwe.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1346884009142.jpg
    uploadfromtaptalk1346884009142.jpg
    40.5 KB · Views: 27
Kauli mbiu ya kwanza ya chama
Kauli mbiu ya kwanza zilizopitishwa na chama zilionyesha nia ya msingi ya kutumikia wananchi. Nazo ni:

1.CHADEMA …………………....................VEMA!
2.MWANANCHI………………..................NAMBARI WANI!
3.CHADEMA …………………...................NAMBA TWO!
4.VIJANA………………………..................TAIFA LA LEO!
5.KINAMAMA…………………..................WALEZI!
6.WAZEE………………………...................DHAMANA!

Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani.
Kauli mbiu hizi ziliwekwa kwa msisitizo kuwa chama chetu kinaheshimu kuwa wananchi ndio namba moja na ndio wamiliki wa chama. Ikiwa na nia ya kupingana na kauli mbiu ya CCM ya kujiita nambari wani. Chama kikaanza kazi kwa kasi, kikiwa kinaonekana kuwa na sura ya kipekee. Toka enzi hizo chama kilijijengea heshima ya kuwa chama cha ustaarabu. Heshima ambayo hadi leo CHADEMA imeitunza.
Avatar yako inawakilisha mawazo yako pole mkuu
 
Kauli mbiu ya kwanza ya chama
Kauli mbiu ya kwanza zilizopitishwa na chama zilionyesha nia ya msingi ya kutumikia wananchi. Nazo ni:

1.CHADEMA …………………....................VEMA!
2.MWANANCHI………………..................NAMBARI WANI!
3.CHADEMA …………………...................NAMBA TWO!
4.VIJANA………………………..................TAIFA LA LEO!
5.KINAMAMA…………………..................WALEZI!
6.WAZEE………………………...................DHAMANA!

Watanzania hapa SIJAWAELEWA Chadema wana maana gani.
Kauli mbiu hizi ziliwekwa kwa msisitizo kuwa chama chetu kinaheshimu kuwa wananchi ndio namba moja na ndio wamiliki wa chama. Ikiwa na nia ya kupingana na kauli mbiu ya CCM ya kujiita nambari wani. Chama kikaanza kazi kwa kasi, kikiwa kinaonekana kuwa na sura ya kipekee. Toka enzi hizo chama kilijijengea heshima ya kuwa chama cha ustaarabu. Heshima ambayo hadi leo CHADEMA imeitunza.

Sasa kama hujaelewa kwanini usinge uliza, watu wengine bwana
 
Back
Top Bottom