Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,994
- 144,329
Watanzania tuwe makini na tutafakari kauli ya jaji Werema kuhusu Zitto sambamba na maswali haya,
Maswali ya kujiuluza ni haya:-
1. Ni kweli Zitto hana majina wala account number za walioweka fedha nje ya nchi?
2. Haiwezekani mtu huyu kanunuliwa ili atusaliti?
3. Mtu huyu hii itakuwa ni tuhuma ya kwanza ya usaliti?
4. Kama anatahumiwa kusaliti chama chake,mtu huyu hawezi kusaliti umma?
5. Huko ulaya Zitto hakupata hayo majina kweli?
6. Huu hauwezi kuwa ni mpango kati yake na hao mafisadi?
7. Nani anaiamini sana serikali katika jambo hili?
8. Je, ni kweli serikali imechukizwa na danadana za Zitto mpaka AG anatishia kumchukulia hatua za
9. Inaingia akilini Zitto kujijengea aibu hii kirahisi hivi?
10. Zitto alikuwa hajui madhara ya kudanganya katika jambo hili hasa kisiasa?
Wakati tunatafakari maelezo ya AG tujiuluze na maswali haya.
"Akili za kuambiwa,changanya na zako".