Watanzania fuatilieni mazishi ya George Floyd kuna ujumbe muhimu unatolewa kwa wanasiasa duniani kote!

Tajiju sasa

Najiju tena? Yashakuwa hayo bibie?

Basi msingesema tufatilie mazishi ya mtu ambae hata hamjui kumwelezea anatuhusu vipi.

Huku Kihangi, Mbinga, hatumjui, hatuna access ya kumjua, na labda haitusaidii kumjua, na hatumfatilii George Floyd!

Narudisha swali kwako, WEWE UKO DUNIA GANI?
 
Ntumie gahawa jombaaa😜
 
Mbinga gahawa za kutosha
 
Tukio la mazishi liko live Al Jazeera, BBC na Sky news.

Lugha ni English na lugha ya alama.

Kama una nafasi jaribu kufuatilia ni tukio la kusisimua kwa wale wenye kuthamini utu wa binadamu.

Up dates;
Ya Mwangosi yamezidi ya Floyd ila tu sisi hatujitambui na hatujali haki ya mtu ya kuishi, kila kitu poa tu.
 
Alieuawa ni mtu mweusi lakini naona nchi za wazungu ndio ziko mstari wa mbele kwenye maandamano, na kupiga kelele. Nchi za kiafrika kimyaaaa....
Tatizo hao wamarekani weusi ni wabaguzi sana kwa watu wanaotokea Africa. Wapambane na hali yao
 
Waafrika Kusini wabaguzi na Waamerika Weusi nao Wabaguzi, basi bakini kwenu Tanzania hamtabaguliwa!

Nyinyi ndio mmewafuata kwao!
 
Nimejibu sababu katuuliza kwa nini nchi za Africa haziandamani.
 
Back
Top Bottom