Watanzania Eenh... Mimi JK rais Wenu

Utamaduni

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
1,279
597
Oooh! My God, naona JK anapata kinywaji kwenye kiti kirefu na sisi tuko juu ya mwamba mkuuuubwa tunapata joto ya JIWE...., hata simba akimaliza mfupa wake wa EPA anaweza akatula na sisi pia labda awe ameshiba.Ila mzee wetu angekuwepo wangefilisiwa, badala ya kuwashughulikia tunashughulikia Zanzibar si nchi, upo hapo?


--------------------------------------------------------------------------------






JK: "Watanzania eh"

WTZ: "Eh"

JK: "Mimi Rais wenu!"

WTZ: "eh!"

JK: "Sina nguvu tena!"

WTZ: "Eh"

JK: "Ya kukamata mafisadi"

WTZ: "Eh"

JK: "Mafisadi ni wajanja"

WTZ: "Eh"

JK: "Wamekomba Benki Kuu" Watoto wanaendelea kuitikia "Eh" kwa shauku!

JK: "Wamelangua na Rada"

"Wameiba Meremeta"

"Wamechota nayo EPA"

"Na makampuni mengine"

"Sasa kimbieni!

Watanzania kila mmoja anavyojua anaanza kutimkia kwake na kufanya mambo yake kuokoa maisha yake na ya familia yake. Kwa hakika hivyo ndivyo nilivyomuona Rais Kikwete.

Masikini Tanzania.... ..aliyekua anaihurumia na kuipenda ni Nyerere tu.......ambaye sasa hayupo tena. Waliobaki ni CCM tu, yaani Chukua Chako Mapema! Hivi wewe Rais mzima utakosaje nguvu yakuwakamata mafisadi na kuwashughulikia kama huli nao.....!!!??
 
IF WHAT THEY SAY ABOUT DEAD PEOPLE TURNING IN THEIR GRAVES THEN i THINK THE LATE NYERERE IS SUMMERSAULTING IN BUTIAMA. WHAT HAS BECOME OF THIS NATION?!
 
IF WHAT THEY SAY ABOUT DEAD PEOPLE TURNING IN THEIR GRAVES THEN i THINK THE LATE NYERERE IS SUMMERSAULTING IN BUTIAMA. WHAT HAS BECOME OF THIS NATION?!
....Wagosi wa kaya waliimba bora nchi iuzwe tugawane kila mtu chake sasa hawa majambawazi wanakamua peke yao.Tutawatokea siku moja na kuwachapa mawe.....
 
nyie semeni ur p*****off coz hamkuchota chenu. ngoja niwaulizeni, mngepata hiyo nafasi ya kuchota hela za EPA mngeachia...?!
 
Back
Top Bottom