Watanzania chukueni muda kupumzika na familia zenu jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kama kuna watu wanaochakarika na kusahau familia zao ni watanzania pamoja na kwamba maendeleo awaiifikii wachina ama wajapan

Jamani hili ni wazo tu ni vyema hata kama unafanya biashara jitahidi kupata muda wa kupumzika na familia...hili limenihuzunisha sana kuna dada alitaka kutoka outing na mie na yeye ni mke wa mtu...akusita kusema mumewe yeye ni kuamka asbh,,kurudi usiku...hana jipya...,kikaniuma sana sana jamani nikaona ni vyema tukumbushane hata kama muda huu wa wekkend jitahidi kukaa na watoto mkeo..mjuliane hali kila wikiend jamani,....,kuna matatizo mkeo anashindwa kukwambia ukiw a fasta anaitaji ukae muongee,..sawa jamani....

kuna mtu mmoja nasikitika kutangaza mpenzi na mwanachama wa Jf,...yeye akiamka asbh na mapema kurudi usiku kabisa,...siku nilipoenda kwake mttoto wake akamuuliza hivi baaba unalalaga wapi jamani....tumekumis...akamjibu kamuulize mama yako...loh..ashenariiiiiiiiiiiiiiiiii

nasema kutoa familia yako outin kwa wiki mara moja si ubaya jamani wala si uchoyo hizi pesa tunahangaika kwa ajili ya familia zetu...raha tujipe wenyewe jamani...

nashukuru kwa kunielewa na wewe unaekasirirka embu anza kutuonyesha mfano leo jumamosi toka outin na mazeri uone ajakupa style ujawahi ziona toka muoane ....
kila la kheri
 
kabisa maisha yenyewe mafupi haya noja nitoke job niende kumchukua zilipendwa wangu tutoke
 
Kama kuna watu wanaochakarika na kusahau familia zao ni watanzania
pamoja na kwamba maendeleo awaiifikii wachina ama wajapan
jamani hili ni wazo tu ni vyema hata kama unafanya biashara jitahidi kupata muda wa kupumzika na familia...hili limenihuzunisha sana kuna dada alitaka kutoka outing na mie na yeye ni mke wa mtu...akusita kusema mumewe yeye ni kuamka asbh,,kurudi usiku...hana jipya...,kikaniuma sana sana jamani nikaona ni vyema tukumbushane hata kama muda huu wa wekkend jitahidi kukaa na watoto mkeo..mjuliane hali kila wikiend jamani,....,kuna matatizo mkeo anashindwa kukwambia ukiw a fasta anaitaji ukae muongee,..sawa jamani....
kuna mtu mmoja nasikitika kutangaza mpenzi na mwanachama wa Jf,...yeye akiamka asbh na mapema kurudi usiku kabisa,...siku nilipoenda kwake mttoto wake akamuuliza hivi baaba unalalaga wapi jamani....tumekumis...akamjibu kamuulize mama yako...loh..ashenariiiiiiiiiiiiiiiiii

nasema kutoa familia yako outin kwa wiki mara moja si ubaya jamani wala si uchoyo hizi pesa tunahangaika kwa ajili ya familia zetu...raha tujipe wenyewe jamani...

nashukuru kwa kunielewa na wewe unaekasirirka embu anza kutuonyesha mfano leo jumamosi toka outin na mazeri uone ajakupa style ujawahi ziona toka muoane ....
kila la kheri
Mwanahalisi, u said it all nafikiri hii ni kawaida kabisa maana from January to December kutoka saa kumi na mbili aubuhi kurudi saa sita usiku na usisubutu kumuuliza unazua vita.
 
Mwanahalisi, u said it all nafikiri hii ni kawaida kabisa maana from January to December kutoka saa kumi na mbili aubuhi kurudi saa sita usiku na usisubutu kumuuliza unazua vita.
Nadhani kurudi saa sita usiku siyo kwamba anakuwa kwenye ovatym kazini atakuwa kwenye ovatym ktk MPANGO WA KANDO. aka nyumba ndogo ndo maana ukiuliza unatibua vumbi!
 
Mwanahalisi hujatuambia yule dada ulimsaidia au? Na mumewe mnafahamiana, just kuuliza tu si unajua tena mbongo mwagizie hela atafikisha nyimbani salama lakini sio mwanamke wako?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom