Watanzania chini ya miaka 18 wataweza kumiliki simu/line za simu?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,903
Kuwa na kitambulisho cha uraia ni lazima uwe na miaka 18+. Na bila kitambulisho hicho huwezi kusajili line ya simu. Itakuwaje kwa watu under 18 na suala la kumiliki line (SIM Card)?
 
Wataomba wasajiliwe na mkubwa wao kisha anawapa hiyo line
Mbona hata sasa hivi ndio inavyofanyika?

Maana kusajili line hata zamani ni lazima uwe na kitambulisho, na walio chini na miaka 18 na kushuka chini hawana, mzazi/ mlezi unamsajilia na kumpa
 
Hapa yakitokea makosa ya mtandao inakuwa shida. Ila siku hizi simu zinatumika sana kuaccess internet. Huoni vijana wananyimwa fursa?
 
Back
Top Bottom