Watanzania changamkieni fursa ,,Achaneni na Tz ya ccm

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Tafadhari kwa walio tayari kwenda wawasiliane na Millard Ayo awape utaratibu wa kufika huko.

Unaambiwa huko ukifika tu unayaona maisha bora kwa vitendo na SI kuyasikia kwa mdomo ama kuyaona kwa maandishi hahaha.
Screenshot_20190704-133901.jpeg
 
Tafadhari kwa walio tayari kwenda wawasiliane na Millard Ayo awape utaratibu wa kufika huko.

Unaambiwa huko ukifika tu unayaona maisha bora kwa vitendo na SI kuyasikia kwa mdomo ama kuyaona kwa maandishi hahaha.
View attachment 1146327

Kwangu mimi hii kitu inakuwa kama paradox! Mleta mada, unaweza ukatutajia baadhi ya sababu muhimu zilizopelekea uwepo wa mchakato wa Brexit?

wa Brexit/
 
Back
Top Bottom