WATANZANIA BADO TUNA SAFARI NDEFU TUACHE UNAFIKI WA KUMSIFIA MTU ANAPOKUA KAFARIKI

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
baada ya dr MENGI kufa kapokea sifa nyingi na appreciation za kutosha na tumejua mambo yake mengi ambapo akiwa hai wanaojitapa kuwa wanamjua walikua hawajitokezi na kuyasema, huu ni u.k, kwa nn msimsifie mtu akiwa hai mnangoja hadi afe?
 
mbona wansomsifia uncle magu kipindi hiko yuko hai mnaona wanajipendekeza, wapo wanaomsifia kwelikweli na hao wanaonekana wanafiki,
 
baada ya dr MENGI kufa kapokea sifa nyingi na appreciation za kutosha na tumejua mambo yake mengi ambapo akiwa hai wanaojitapa kuwa wanamjua walikua hawajitokezi na kuyasema, huu ni u.k, kwa nn msimsifie mtu akiwa hai mnangoja hadi afe?
Mkuu mbona unahangaika kama unataka kutaga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom