Watanzania baadhi yetu tuna IQ ndogo sana na ndio maana hawa jamaa wanafanikiwa kututawala akili zetu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Silaha mojawapo ya watu waliofilisika kihoja au walioshindwa kutimiza wajibu wao ni kutumia propaganda za kidini na kikabila ili kuvuruga mijadala, kuhamisha mijadala,kuficha udhaifu wao,kuwagawa watu,n.k.

Inasikitisha sana hata hapa JF baadhi ya wenztu wamenasa katika huu mtego na tukiendelee kuwa wajinga kiasi hiki kwa hakika hawa jamaa watatutawala kwa muda mrefu sana kiakili,n.k.

Ningekuwa na mamlaka humu ningekuwa nafuta hoja za udini na ukabila katika mada zote zisizohusu udini na ukabila(I wish I could be moderator).

Inasikitisha tunavyotekwa akili na kuacha hoja za msingi na kuanza kujadili hoja kwa mtazamo wa udini au ukabila.

IQ zetu baadhi yetu ziko chini sana humu na ndio maana hawa watu wanafanikiwa kututawala.

Mtu kwa makusudi anachomekea udini /ukabila na sisi badala ya kumpuuza tunaanza kujadili hoja kwa misingi ya udini au ukabila na matokeo yake hoja ya msingi inakufa na yeye anakuwa amefanikiwa.

So sad!!
 
Ungeanza kwanza na mashabiki na wafuasi wa Mangi Kimambi, tena wengine ni Viongozi wakubwa wa Chama chenu, mbona hauleti Mada kupinga Mangi Kimambi kutukana watu matusi ya nguoni?
Demokrasia mnaipenda lkn hamuielewi, mnaitaka ikiwanufaisha tu wengine wakiitumia mnaanza kulia, Dunia haiko hivyo!
 
Usijitoe fahamu Ndugu..
Mange anawasiliana na Watu wa CCM wengi kupita maelezo..
Makombora yote ambayo anarusha huwa anapata kutoka kwa watu wengine wapo mpaka ndani ya Ikulu.
 
Haijalishi lkn kama unalilia haki pia mngejitokeza kumpinga yeye kutukana watu lkn badala yake mlimshangilia halafu wakati huo huo mnataka wengine waandike mnavyopenda ninyi wasipofanya hivyo mnaanza kuwaita majina, demokrasia haiko hivyo!
 
Ungeanza kwanza na mashabiki na wafuasi wa Mangi Kimambi, tena wengine ni Viongozi wakubwa wa Chama chenu, mbona hauleti Mada kupinga Mangi Kimambi kutukana watu matusi ya nguoni?
Demokrasia mnaipenda lkn hamuielewi, mnaitaka ikiwanufaisha tu wengine wakiitumia mnaanza kulia, Dunia haiko hivyo!
Unapokuwa na watu waliokata tamaa kama Barbarosa huwezi kupata mafanikio jambo lolote lile, ni mtu anayependa kuongelea watu mbele ya watu huku akipaza sauti na kujipitishapitisha ilimradi asikike. Barbarosa ongea hoja iliyopo mezani angalau nawe uonekane una IQ ndani ya GT.
 
Silaha mojawapo ya watu waliofilisika kihoja au walioshindwa kutimiza wajibu wao ni kutumia propaganda za kidini na kikabila ili kuvuruga mijadala, kuhamisha mijadala,kuficha udhaifu wao,kuwagawa watu,n.k.

Inasikitisha sana hata hapa JF baadhi ya wenztu wamenasa katika huu mtego na tukiendelee kuwa wajinga kiasi hiki kwa hakika hawa jamaa watatutawala kwa muda mrefu sana kiakili,n.k.

Ningekuwa na mamlaka humu ningekuwa nafuta hoja za udini na ukabila katika mada zote zisizohusu udini na ukabila(I wish I could be moderator).

Inasikitisha tunavyotekwa akili na kuacha hoja za msingi na kuanza kujadili hoja kwa mtazamo wa udini au ukabila.

IQ zetu baadhi yetu ziko chini sana humu na ndio maana hawa watu wanafanikiwa kututawala.

Mtu kwa makusudi anachomekea udini /ukabila na sisi badala ya kumpuuza tunaanza kujadili hoja kwa misingi ya udini au ukabila na matokeo yake hoja ya msingi inakufa na yeye anakuwa amefanikiwa.

So sad!!
unajua tatizo letu nini mpaka una lalamika kuwa IQ zetu ndogo.kila mtu hamkubali mwenzake
 
Haijalishi lkn kama unalilia haki pia mngejitokeza kumpinga yeye kutukana watu lkn badala yake mlimshangilia halafu wakati huo huo mnataka wengine waandike mnavyopenda ninyi wasipofanya hivyo mnaanza kuwaita majina, demokrasia haiko hivyo!
Hivi Mange ni mwana CCM au CHADEMA?
 
Unapokuwa na watu waliokata tamaa kama Barbarosa huwezi kupata mafanikio jambo lolote lile, ni mtu anayependa kuongelea watu mbele ya watu huku akipaza sauti na kujipitishapitisha ilimradi asikike. Barbarosa ongea hoja iliyopo mezani angalau nawe uonekane una IQ ndani ya GT.
Huyu hujadili watu na sio hoja
 
Ungeanza kwanza na mashabiki na wafuasi wa Mangi Kimambi, tena wengine ni Viongozi wakubwa wa Chama chenu, mbona hauleti Mada kupinga Mangi Kimambi kutukana watu matusi ya nguoni?
Demokrasia mnaipenda lkn hamuielewi, mnaitaka ikiwanufaisha tu wengine wakiitumia mnaanza kulia, Dunia haiko hivyo!
Na je anapo mtukana Lowassa 2015, wana CCM mlikuwa wapi? Acha ujinga mkuu
 
Kama hujui Mange ni mwana CCM na aligombea ubunge kwenye kura za maoni ndani ya CCM.
Usidhani watu wote ni waninga kama wewe, unaependa kujadili watu badala ya hoja iliyopo mezani

Kwa hiyo mnataka hata kuniwekea mpaka wa ninachopaswa kujadili halafu mnaimba demokrasia?
 
Angalia unavyo hangaika na watu, ni nani amekuwekea mpaka?
Welevu hujadili hoja wajinga hujadili watu. Jadili hoja kama ina mashiko au laa
 
Lkn nina uhuru wa kujadili ninavyotaka wewe ni nani hadi unipangie?
 
Back
Top Bottom