WaTanzania angalieni hiyo kasi ya kuzaana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WaTanzania angalieni hiyo kasi ya kuzaana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kalunguine, May 16, 2011.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  :dance:Subalkheri waungwana!
  Kupata watoto kuna raha yake lakini huko tuendako hali inaashiria hatari! Kila kukicha watoto huzaliwa mithili ya siafu! Sawa watoto ni haki yetu sote ila sasa ukipata wawili unaona hawakutoshi unataka ati kuzaa na Hadija, na Amina, na Mariamu, na ...........Loh! Na nyie dada zetu mkizungushwa kwa maneno mnaachia bila mpango! Ati
  oohh
  "nataka kuwa nawe milele,
  nataka tuzae watoto baby..."
  Mwenzenu Ray C alikuwa ananogesha wimbo! Nimeenda likizo kijijini Krismasi ya mwaka jana nikakuta pameandaliwa disco toto - Mama Yangu! Maana ulikwa ni utitiri kama sio siafu aina ya watoto wa binadamu. Angalieni sana, pashaneni habari tuendako kwa kasi hii ya kuzaliana si salama. Huduma zinazidi kuwa adimu maeneo , tunagombania kila kukicha!
  Shauri yenu! :dance:
   
 2. O

  Omumura JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wacha wazae,maisha magumu wanafaidi wachache! Baba akiwa nyumbani, mama ndio gazeti,video,tv au r
  edio,sasa hapo unategemea nini zaidi kuwapanga watoto kama panya.
   
Loading...