Watanzania 15 wamekatwa na wako mahabusu nchini Msumbiji

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Ndugu wanaJF kuna watanzania wenzetu wamekatwa nchini msumbiji wakituhumiwa kwa makosa mbali mbali yakiwemo ya uwindaji haramu na kuingia nyumba ya JIRANI bila kibali.

Kwa jambo hilo tunaomba mlioko Karibu na Raisi mpaze sauti ili kushinikiza waachiwe huru warudishwe nyumbani kwani familia zao zinaendelea kuteseka huku nchini,

Pia mambo ya MTU kuwekwa mahabusu siyo kuzuri unaweza utengeneza njia kifo cha shortcut kutoka na mazingira mabovu ya mahabusu.
 
Ndugu wanaJF kuna watanzania wenzetu wamekatwa nchini msumbiji wakituhumiwa kwa makosa mbali mbali yakiwemo ya uwindaji haramu na kuingia nyumba ya JIRANI bila kibali.
Kwa jambo hilo tunaomba mlioko Karibu na JPM mpase sauti ili kushinikiza waachiwe huru warudishwe nyumbani kwani familia zao zinaendelea kuteseka huku nchini, na pia mambo ya MTU kuwekwa mahabusu siyo kuzuri unaweza utengeneza njia kifo cha shortcut kutoka na mazingira mabovu ya mahabusu.
Wamekamatwa!!!!!
 
Habari yako ina vielelezo gan...???....wewe mwenyewe una uthibitisho gani...???....tutaamini vip hii habari ni ya kweli.....???
 
China wapo,UK wapo,S.A wapo ,U.S wapo sijui tuanze na wapi?/
•wapo kisheria?
•makosa yao NI yapj?
 
Kama wanaua wanyama kwenye mbuga za msumbiji ulitegemea nini, hata ingekuwa huku kwetu tukiwakamata hatuwezi kuwaachia, acheni wahalifu wapate adhabu inayowastahili
 
Ndugu wanaJF kuna watanzania wenzetu wamekatwa nchini msumbiji wakituhumiwa kwa makosa mbali mbali yakiwemo ya uwindaji haramu na kuingia nyumba ya JIRANI bila kibali.
Kwa jambo hilo tunaomba mlioko Karibu na JPM mpase sauti ili kushinikiza waachiwe huru warudishwe nyumbani kwani familia zao zinaendelea kuteseka huku nchini, na pia mambo ya MTU kuwekwa mahabusu siyo kuzuri unaweza utengeneza njia kifo cha shortcut kutoka na mazingira mabovu ya mahabusu.
wamekosa nini?wamevunja sheria, au hawajavunja?
 
Back
Top Bottom