Watano wafariki kwa ajali wakitoka kwenye harusi Singida

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Watu watano wamefariki na wengine 14 wamejeruhiwa baada ya gari la abiria lililokuwa likitokea kwenye sherehe ya harusi eneo la Makanda wilayani Manyoni mkoani Singida kuelekea Bahi mkoani Dodoma kugongana na Trekta.

Itv.jpg
 
Haya matrekta husafiri usiku kijiji kwa kijiji yakiwa hayana taa wala viakisi mwendo kuna siku tulitaka kulivaa usiku maeneo ya Kiwangwa bagamoyo
 
Back
Top Bottom