Watano wafariki katika ghasia za Uchaguzi nchini Ghana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Polisi nchini humo wamesema watu watano wamefariki dunia kufuatia vurugu ambazo zimehusishwa na Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatatu

Katika taarifa yao, Polisi wamesema kumekuwa na mashtaka kadhaa kuhusu vurugu za Uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini, yakiwemo matukio ya upigaji risasi

Matokeo ya Uchaguzi wa Rais pamoja na Wabunge yanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni ambapo mvutano mkubwa kwa Urais ni kati ya Nana Akufo-Addo na John Mahama

=====

Police in Ghana say five people have been killed in violence linked to Monday's election.

In a statement, police said there were 21 cases of electoral violence across the country including several shooting incidents.

The results of the presidential and parliamentary elections are expected in a few hours' time.

Representatives of President Nana Akufo Addo's party and those of the opposition's John Mahama are each predicting victory in what is expected to be a tight race.

This is the third time the two politicians have faced each other in a presidential election.
 
Back
Top Bottom