Watano waachiwa huru kesi ya wizi wa NMB Mwanga.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,173
Gazeti la Nipashe linatuhabarisha ya kuwa watuhumiwa watano kwenye kesi ya wizi wa kutumia nguvu katika Benki ya NMB wameachiwa huru kwa kile kinachosemekana kukosekana kwa ushahidi.......................

Hii ni aibu nyingine kwa polisi ambao siku za hivi karibuni wamekuwa wakishindwa kesi moja baada ya nyingine kutokana na ushahidi hafifu au uchunguzi usio kuwa wa makini......................Kesi kama za akina Abdallah Zombe na nyinginezo nyingi za wizi kwenye mabenki yetu zimekuwa zikiishia kwa watuhumiwa kuachiwa huru.............

Hakuna chombo ambacho hutathmini utendaji wa polisi na hivyo kufanya kazi kulingana na matashi yao binafsi tu............
 
Inauma sana mkuu, hizi sheria zinamekua si msumeno tena maana zinakata pande moja ya walalawohi tu. Mungu ibariki Tanzania.
 
mapolisi wetu hawajui kupeleleza kesi wana mbinu za kizamani mnooooo....wanakandikwa miswali ya kingredha na mawakili wanabaki yes yes yes ..hakuna wanachoelewa
 
Ni kweli na matokeo yake uhalifu unapigiwa tarumbeta kwenye majukwaa........yaani mapolisi sasa kwa domokaya ndiyo wenyewe..lakini utendaji ni ........Mmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom