Watano mbaroni Dar wakihusishwa na mauaji ya RPC Barlow

Hapa kuna tatizo, kwa harakaaraka tu kwa usiku huo;
1. Walivamia New Tuliza hawakukamatwa.
2. Wakavamia supermarket hawakukamatwa.
3. Wakamvamia mama mmoja hawakukamatwa.
4. Wakamvamia RPC hawakukamatwa.

Maswali yangu:
1. Je, usalama wa raia upo (polisi walikuwa wapi)?
2. Hawa wavamizi wangeishia kumvamia yule mama wangetafutwa?
Umefikia wakati serikali ijali wananchi wake na wapate haki sawa. Sioni sababu ya kulifanya jeshi la polisi kuamua kujipanga ktk baadhi ya matukio na mengine wasijipange ilihali uwezo wanao.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom