Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande..

Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke ishu za vibamia na kina Mario...

Kina sugar daddy na sugar mummy. Wa mikoani mupo?

Twende kazi..
 
Mshana jr naww ni wa dar.... Angee panya road nyuma yakoo
IMG-20160225-WA0009.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom