Watani halisi wa Wanyakyusa ni nani kati ya Wakinga na Wasafwa?

NGolo Kante

Member
Feb 28, 2017
80
131
Ndugu wanaJF,

Kama mnavyotambua kuwa kuna desturi ya makabila yanayopakana kuwa na utani au kuitana watani. Desturi hii imejenga ukaribu na ujirani mwema baina ya makabila husika.

Mfano: Wahaya huwaita Wajita watani wao (Sijajua ni kutokana na wote kuishi pembezoni mwa ziwa au vp). Wachaga na Wapare nk.

Lakini kwangu kuna mkanganyiko na nahitaji kujua nani hasa ni watani wa Wanyakyusa? Baadhi ya watu nimewahi kuwasikia wakieleza au kuitana watani kati ya Wanyakyusa na Wakinga na muda mwingine Wasafwa kuwaita Wanyakyusa watani wao.

Naomba mwenye uelewa adadavue.
 
Wangoni ndio watani haswa wa wanyakyusa huko kuingine una ungaunga

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wangoni na wahehe
Ndugu wanaJF,

Kama mnavyotambua kuwa kuna desturi ya makabila yanayopakana kuwa na utani au kuitana watani. Desturi hii imejenga ukaribu na ujirani mwema baina ya makabila husika.

Mfano: Wahaya huwaita Wajita watani wao (Sijajua ni kutokana na wote kuishi pembezoni mwa ziwa au vp). Wachaga na Wapare nk.

Lakini kwangu kuna mkanganyiko na nahitaji kujua nani hasa ni watani wa Wanyakyusa? Baadhi ya watu nimewahi kuwasikia wakieleza au kuitana watani kati ya Wanyakyusa na Wakinga na muda mwingine Wasafwa kuwaita Wanyakyusa watani wao.

Naomba mwenye uelewa adadavue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom