Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,374
- 5,011
Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu.
Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala hawaonyeshi kusimama katikati.
Kwa mfano sasa hivi kuna fukuto la Kilomoni na Club, Watangazaji wote wa kipindi cha michezo wako nyuma yake wao ndiyo wanamsemea, kisichoeleweka kwenye maelezo ya mzee kilomoni wao ndiyo huweka sawa.
Watangazaji wa kipindi hiki wamefikia kuita mashabiki wa Simba mabwege, msikilizaji anawaambia huko ni kukosea watu heshima, wakajibu eti neno bwege, sio tusi mbona kuna mtu anaitwa bwege.
Lakini Watangazaji hawa kwa kutanguliza mapenzi na chuki, wana dhubutu kuita hadhira mabegwe Tena bila kujali kuwa ile radio ya chama, moja ya madhumuni ya uwepo wake ni pamoja kuwaunganisha Watanzania.
Watangazaji radio Uhuru: mpira hauna Siasa, msiingize siasa kwenye mpira mtaiua Nchi, Pamoja na mapenzi yenu binafsi kwa Club nyingine, nyie kama chombo cha habari, msishike silaha kuongoza mapambano, Bali mkae kati kuzima moto Usiwake.
Radio Nyie ni dira kuliko mnavyodhani, pima madhara ya mnachokisema.