Watangazi wa kipindi michezo Radio uhuru ni mapenzi ya timu au ni kudhani Yanga ni timu ya Chama, na Simba kuona ni Wapinzani

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,962
2,000
Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu.

Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala hawaonyeshi kusimama katikati.

Kwa mfano sasa hivi kuna fukuto la Kilomoni na Club, Watangazaji wote wa kipindi cha michezo wako nyuma yake wao ndiyo wanamsemea, kisichoeleweka kwenye maelezo ya mzee kilomoni wao ndiyo huweka sawa.

Watangazaji wa kipindi hiki wamefikia kuita mashabiki wa Simba mabwege, msikilizaji anawaambia huko ni kukosea watu heshima, wakajibu eti neno bwege, sio tusi mbona kuna mtu anaitwa bwege.

Lakini Watangazaji hawa kwa kutanguliza mapenzi na chuki, wana dhubutu kuita hadhira mabegwe Tena bila kujali kuwa ile radio ya chama, moja ya madhumuni ya uwepo wake ni pamoja kuwaunganisha Watanzania.

Watangazaji radio Uhuru: mpira hauna Siasa, msiingize siasa kwenye mpira mtaiua Nchi, Pamoja na mapenzi yenu binafsi kwa Club nyingine, nyie kama chombo cha habari, msishike silaha kuongoza mapambano, Bali mkae kati kuzima moto Usiwake.

Radio Nyie ni dira kuliko mnavyodhani, pima madhara ya mnachokisema.
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
3,023

Mkuu ili usiumie achana nao
 
lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,469
2,000
Maendeleo ya michezo yanategemea kwa asilimia 95% wadau wa michezo huku watangazaji wa michezo (media) wakichangia zaidi ya 50% ya mafanikio hayo. Na hapo ndipo mkwamo wetu unapoanzia tatizo kubwa likiwa uelewa mdogo wa wadau hao!
Ngoja tuisubiri stars ichukue kombe la afcon kwanza au ifike fainali then tutakutana hapa kuvuna tunachopanda.
 
Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,495
2,000
Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu.

Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala hawaonyeshi kusimama katikati.

Kwa mfano sasa hivi kuna fukuto la Kilomoni na Club, Watangazaji wote wa kipindi cha michezo wako nyuma yake wao ndiyo wanamsemea, kisichoeleweka kwenye maelezo ya mzee kilomoni wao ndiyo huweka sawa.

Watangazaji wa kipindi hiki wamefikia kuita mashabiki wa Simba mabwege, msikilizaji anawaambia huko ni kukosea watu heshima, wakajibu eti neno bwege, sio tusi mbona kuna mtu anaitwa bwege.

Lakini Watangazaji hawa kwa kutanguliza mapenzi na chuki, wana dhubutu kuita hadhira mabegwe Tena bila kujali kuwa ile radio ya chama, moja ya madhumuni ya uwepo wake ni pamoja kuwaunganisha Watanzania.

Watangazaji radio Uhuru: mpira hauna Siasa, msiingize siasa kwenye mpira mtaiua Nchi, Pamoja na mapenzi yenu binafsi kwa Club nyingine, nyie kama chombo cha habari, msishike silaha kuongoza mapambano, Bali mkae kati kuzima moto Usiwake.

Radio Nyie ni dira kuliko mnavyodhani, pima madhara ya mnachokisema.
Mkuu kwani lazima usikilize radio hiyo? Au umepewa lift mwenye gari ametune uhuru?
 
Polonium

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
233
250

Radio CLOUDS FM na wao kazi yao kutukana na kuikashifu YANGA,so usilie wapo akina SHAFI DAUDA na wenzake kwa kazi kama hiyo sijakusikia ukilia!
 
Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,962
2,000
Kila mtu analia na machungu anayohisi mkuu, kama linakuumiza una haki ya kuandika, na kama wanapita waone kama watajirekebisha wajirekebishe. Tabia za Cluod hazinizui mimi kutoa maoni yangu, eti tu kwa sababu kuna redio nyingine inafanya hivyo timu nyingine.
Radio CLOUDS FM na wao kazi yao kutukana na kuikashifu YANGA,so usilie wapo akina SHAFI DAUDA na wenzake kwa kazi kama hiyo sijakusikia ukilia!
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,344
2,000
Kuna redio inaitwa hivyo? Ndo kwanza naisikia, watakuwa wanalishwa sumu na adui namba moja wa watanzania!
 
Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,962
2,000
Wapi nilipoandika nalazimika kusikiliza radio hiyo. Nisingesikiliza ningejuaje haya. Uhuru wa kutoa maoni hainifungi kutokana na kile ninacho ninachosikia toka radio hiyo.

Vyombo vya habari ni wadau pia wa kuendeleza michezo, usidhani kila mtangazaji ana utashi juu ya dhamana alionayo ndani ya nyanja ya habari, Kujenga ama kubomoa.

Mkuu kwani lazima usikilize radio hiyo? Au umepewa lift mwenye gari ametune uhuru?
 
Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,495
2,000
Wapi nilipoandika nalazimika kusikiliza radio hiyo. Nisingesikiliza ningejuaje haya. Uhuru wa kutoa maoni hainifungi kutokana na kile ninacho ninachosikia toka radio hiyo.

Vyombo vya habari ni wadau pia wa kuendeleza michezo, usidhani kila mtangazaji ana utashi juu ya dhamana alionayo ndani ya nyanja ya habari, Kujenga ama kubomoa.
Sasa umejuaje?
 
kiletza

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
451
1,000
Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu.

Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala hawaonyeshi kusimama katikati.

Kwa mfano sasa hivi kuna fukuto la Kilomoni na Club, Watangazaji wote wa kipindi cha michezo wako nyuma yake wao ndiyo wanamsemea, kisichoeleweka kwenye maelezo ya mzee kilomoni wao ndiyo huweka sawa.

Watangazaji wa kipindi hiki wamefikia kuita mashabiki wa Simba mabwege, msikilizaji anawaambia huko ni kukosea watu heshima, wakajibu eti neno bwege, sio tusi mbona kuna mtu anaitwa bwege.

Lakini Watangazaji hawa kwa kutanguliza mapenzi na chuki, wana dhubutu kuita hadhira mabegwe Tena bila kujali kuwa ile radio ya chama, moja ya madhumuni ya uwepo wake ni pamoja kuwaunganisha Watanzania.

Watangazaji radio Uhuru: mpira hauna Siasa, msiingize siasa kwenye mpira mtaiua Nchi, Pamoja na mapenzi yenu binafsi kwa Club nyingine, nyie kama chombo cha habari, msishike silaha kuongoza mapambano, Bali mkae kati kuzima moto Usiwake.

Radio Nyie ni dira kuliko mnavyodhani, pima madhara ya mnachokisema.
Radio nyingine kuzisikiliza ni kujitia nuksi tuu. Kuna wakati nilikuwa addicted na Morning Magic ya Magic FM Ila Toka sikuile ilipotangazwa rasmi ni Mali ya chama.... ikawa ndio mwisho wa kuisikiliza sawa na TBC, Radio Uhuru, as well as Channel Ten
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom