Elections 2010 Watangazi wa ITV wanachakachua habari za matokeo

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Masako na Gondwe kama hamuwezi kutuletea habari za matokeo ya uchaguzi ni bora mkaacha.

Kwa nini mnang'ang'ani kusema Kikwete anaongoza akifuatiwa na Lipumba wakati hadi sasa Lipumba ana 9% na Slaa ana 20% ya kura zote, mnatufanya hatujaenda shule.

Mara nyingi mmekuwa mkiripoti eti Lipumba ni wa pili kwa vile ameongoza majimbo matano huko Pemba na Slaa ni wa tatu kwa vile ameongoza majimbo mawili bila kuangalia idadi ya kura, hesabu gani hizo, mnahesabu idadi ya vema bila kuangalia vema ina maksi(weight) ngapi utoto wa darasa la pili huo.

Najua mmeelekezwa hivyo ili kuwakatisha tamaa wana chadema lakini muelewe huo ni utumwa wa akili, tunajua NEC wameshachakachua sasa na nyie mnachakachua mara ya pili, waacheni NEC wahangaike na zigo lao msibebe yasiyowahusu.

Ficha Upumbavu wenu; Msiifiche Hekima yenu!
Ahsantee.gif

Thank you for supporting JF!

Hadi sasa kura za NEC ziko hivi tuambieni ni nani wa pili, nimesema za NEC makusudi.
KURA%20LOGO.jpg
matokeoawali.jpg
 
Watangazaji wa bongo hawajui tofauti ya reportage na commentary, nimewasikia leo walivyokuwa wanatangaza matokeo ya Kagera huko aibu tupu, badala ya kuripoti wanaanza kuleta upambe.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
ITV wanajipendekeza, ili CCM ikianza kutafuta mchawi waonekane safi! Pumbavu hawajui ku-report na kuchambua!:doh:
 
Masako na Gondwe kama hamuwezi kutuletea habari za matokeo ya uchaguzi ni bora mkaacha.

Kwa nini mnang'ang'ani kusema Kikwete anaongoza akifuatiwa na Lipumba wakati hadi sasa Lipumba ana 9% na Slaa ana 20% ya kura zote, mnatufanya hatujaenda shule.

Mara nyingi mmekuwa mkiripoti eti Lipumba ni wa pili kwa vile ameongoza majimbo matano huko Pemba na Slaa ni wa tatu kwa vile ameongoza majimbo mawili bila kuangalia idadi ya kura, hesabu gani hizo, mnahesabu idadi ya vema bila kuangalia vema ina maksi(weight) ngapi utoto wa darasa la pili huo.

Najua mmeelekezwa hivyo ili kuwakatisha tamaa wana chadema lakini muelewe huo ni utumwa wa akili, tunajua NEC wameshachakachua sasa na nyie mnachakachua mara ya pili, waacheni NEC wahangaike na zigo lao msibebe yasiyowahusu.

Ficha Upumbavu wenu; Msiifiche Hekima yenu!
Ahsantee.gif

Thank you for supporting JF!

Hadi sasa kura za NEC ziko hivi tuambieni ni nani wa pili, nimesema za NEC makusudi.
KURA%20LOGO.jpg
matokeoawali.jpg
Ajabu kwelikweli, mnagombea nafasi ya pili? Haya chukueni.
 
Siyo tunagombea nafasi ya pili.Ila wasema ukweli. kama embe sema embe si unabadilisha unaliita chungwa. Watanzania tumezoeshwa kusema uongo mpaka tumeona kua ndio life style tunayotakiwa kuishi. Inasikitisha kama ndugu unaona hakuna effect ktk kureport takwimu za uongo.
 
usiwe kama mtu asiyeweza hata kutafakari tofauti ya mbuzi na ng'ombe. Utafika vipi nafasi ya kwanza bila kupita ya pili. Acha ushabiki wa kibwege:A S angry:
 
Back
Top Bottom