watangazaji wengine bwana!

Emaoi

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
307
236
Wadau mimi jana nimekwazika sana na maneno ya mtangazaji aliyekuwa anatuwakilisha pale kwenye mazishi ya baba yetu kipenzi Dr. Mengi. huyu mtangazaji aliiambia umati kwamba hapo mzee mengi alipozikwa ndipo watakapozikwa familia yake yote. Tena akaenda mbali zaidi kwa kuwataja kwa majina kwamba mke wa mengi, abdieli, ,mapacha na Binti yetu mpendwa Regina. sasa swali langu ni moja tu , huyo mtangazaji ana uhakika gani kwamba regina atazikwa kwa baba yake na wakati huyo ni mtoto wa kike? ina maana mtangazaji ameshajiaminisha au familia imemuambia kwamba kuolewa ndio basi tena? nijuavyo mimi Regina ni binti ambaye bado anamsubiria Mungu wake amuinulie Mume wake haijalishi ana umri gani kwani tunaamini kwa Mungu hakunaga kuchelewa. huyo atapata wa kwake sana tu hao wanaosema umri umeenda ni wasiomjua Mungu. Wanaume bado tupo wengi sana tu kumbuka kuolewa sio lazima uolewe bongo hata wazungu wapo na africa kwa ujumla kuna wanaume wengi tu. pia wapo wanaume waliofiwa na wake zao na walioachana na wake zao kama kina mzee wetu mengi hivyo nao wanatafuta wake wakuwapa faraja. kuna marais, wabunge, mawaziri waliofiwa pia na wake zao hao nao wanatafuta ubavu wao tena kwa ndoa halali kabisa za kanisani. kwa hiyo huyo mtangazaji sioni kama alikuwa sahihi kusema Regina akifa atazikwa kwa baba yake. Akae akijua yupo Mungu anayeishi na siku moja tutashuhudia harusi ya regina Mengi ni suala la muda tu. Wewe mtangazaji ujue Mungu anakuona
 
hebu nipe hiyo namba ya Regina,mbona waowaji tupo tu,kumbe binti anatafuta eeh?
 
bro tafuta contacts za regina tu ufunguke, maana tunaona umempenda sana dada huyo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom