Leo ktk vipindi vya magazeti,pote tbc,itv,na cten, walipokuwa wanakutana na habari ya chadema kutomtambua kikwete wanastuka na kusoma hovyo kama wamebugia uji bila kustress maneno.nadhani huu ni ujinga kupindukia
mimi kwa upande wangu watu kama p.j kibonde,hando,musiba wa cten hawa watu wana matatizo makubwa sana,wabadilishiwe vipindi na mamenager wao wapewe vipindi vya taarabu,maana ni watu wa ajabu sana hawa jamaaa,sijui hawa mafisadi wanawapa nini,waangalie isije nao wakachakachuliwa siku moja.:bowl::bowl::bowl: