Watangazaji wa TBC wawania nafasi za uongozi ndani ya CCM

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Naam, watangazaji takribani watatu wa shirika la utangazaji nchini TBC wanawania nafasi za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa sasa watangazaji hao sitaweza kuwataja hapa ingawa wengine tayari wamejiweka hadharani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Tuliwahi kusema kuwa wafanyakazi wa TBC wako pale siyo kikazi ila kuvizia! Wafanyakazi takribani wote wa shirika lile wanavizia nafasi za uteuzi za kichama au wengine ndiyo kama hivyo kutafuta fursa ya kuwania uongozi ndani ya CCM.

Hawa bila shaka watatumia kigezo cha "Nilikipa kipaumbele chama kwenye taaluma yangu" ili wapate kura. Huu ni ujinga mkubwa!

Kwenye nchi nyingi huwezi kuona vituko hivi wanavyoonyesha hawa watangazaji "wajinga" zaidi ya hapa kwetu. Mwisho wa siku ni kuharibu sura ya kituo hicho na kukifanya kuendelea kuonekana kituo cha hovyohovyo kisicho na ufanisi.
 
kama tbc yenyewe hawajaifanya kuwa brand ya kusifika vyema wataweza kuongoza watu wakawafikisha mahali pazuri kweli..?
hawatutendei haki
 
Tbc huwa naangalia kama nmerud nakukuta chanel zimekata kwenye king'amuz
 
Unashangaa watangazaji?
Mbona walimu wengi tu na wakuu wa idara ktk halmashauri nyingi Tz ni viongozi ndani ya ccm.
 
Naam, watangazaji takribani watatu wa shirika la utangazaji nchini TBC wanawania nafasi za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa sasa watangazaji hao sitaweza kuwataja hapa ingawa wengine tayari wamejiweka hadharani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Tuliwahi kusema kuwa wafanyakazi wa TBC wako pale siyo kikazi ila kuvizia! Wafanyakazi takribani wote wa shirika lile wanavizia nafasi za uteuzi za kichama au wengine ndiyo kama hivyo kutafuta fursa ya kuwania uongozi ndani ya CCM.

Hawa bila shaka watatumia kigezo cha "Nilikipa kipaumbele chama kwenye taaluma yangu" ili wapate kura. Huu ni ujinga mkubwa!

Kwenye nchi nyingi huwezi kuona vituko hivi wanavyoonyesha hawa watangazaji "wajinga" zaidi ya hapa kwetu. Mwisho wa siku ni kuharibu sura ya kituo hicho na kukifanya kuendelea kuonekana kituo cha hovyohovyo kisicho na ufanisi.
Toleo la mwaka 1998 la maadili ya utumishi wa umma, mtumishi wa umma amepewa haki ya kujiunga na chama cha siasa, kupiga kura na kupigiwa kura, ila amezuiwa asifanye siasa ndani ya eneo analofanyia kazi. Hivyo, hao watangazaji wa TBC wako sahihi kwa kutumia haki yao ya kikatiba.
 
Naam, watangazaji takribani watatu wa shirika la utangazaji nchini TBC wanawania nafasi za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa sasa watangazaji hao sitaweza kuwataja hapa ingawa wengine tayari wamejiweka hadharani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Tuliwahi kusema kuwa wafanyakazi wa TBC wako pale siyo kikazi ila kuvizia! Wafanyakazi takribani wote wa shirika lile wanavizia nafasi za uteuzi za kichama au wengine ndiyo kama hivyo kutafuta fursa ya kuwania uongozi ndani ya CCM.

Hawa bila shaka watatumia kigezo cha "Nilikipa kipaumbele chama kwenye taaluma yangu" ili wapate kura. Huu ni ujinga mkubwa!

Kwenye nchi nyingi huwezi kuona vituko hivi wanavyoonyesha hawa watangazaji "wajinga" zaidi ya hapa kwetu. Mwisho wa siku ni kuharibu sura ya kituo hicho na kukifanya kuendelea kuonekana kituo cha hovyohovyo kisicho na ufanisi.
Inawauma eh? Si mnasemanga ni TBCCM
 
Nini sababu ya kuwaficha??
 
Vyuma vimekaza watu wanaangalia njia mbadala ya kupiga pesa..
Now hamna kukaa ni mwendo wa kujiongeza .hao wameona fursa kupitia taaluma yao wacha waitumie
 
Kitila Mkumbo alikuwa Mhadhiri Chuo Kikuu wakati huohuo ni mwanachama na kiongozi ndani ya Chadema.
 
Siku zote tunaposema au kuandika TBCCM badala ya TBC watu wanatuona kama wajinga flani lakini sasa yanaendelea kuthibitika kuwa kile si chombo cha habari cha umma bali ni tawi mojawapo la propaganda la CCM..
 
Naam, watangazaji takribani watatu wa shirika la utangazaji nchini TBC wanawania nafasi za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa sasa watangazaji hao sitaweza kuwataja hapa ingawa wengine tayari wamejiweka hadharani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Tuliwahi kusema kuwa wafanyakazi wa TBC wako pale siyo kikazi ila kuvizia! Wafanyakazi takribani wote wa shirika lile wanavizia nafasi za uteuzi za kichama au wengine ndiyo kama hivyo kutafuta fursa ya kuwania uongozi ndani ya CCM.

Hawa bila shaka watatumia kigezo cha "Nilikipa kipaumbele chama kwenye taaluma yangu" ili wapate kura. Huu ni ujinga mkubwa!

Kwenye nchi nyingi huwezi kuona vituko hivi wanavyoonyesha hawa watangazaji "wajinga" zaidi ya hapa kwetu. Mwisho wa siku ni kuharibu sura ya kituo hicho na kukifanya kuendelea kuonekana kituo cha hovyohovyo kisicho na ufanisi.
Ndugu yangu G Sam unashaurije kuhusu hili...DEVOTA MINJA AMBAYE NI MBUNGE WA CHADEMA VITI MAALUMU
Tuamini kuwa ITV pia iko KICHADEMA zaidi ndo maana waandishi wake huegemea CHADEMA???? (Refer Uchaguzi Mkuu haikuwa TV Bali CHADEMA polling Center in charge akiwa SPENCER LAMECK)
 
Kumbe chadema mnaangaliaga TBC na nyie.
CHADEMA siku zote wao uwa ni wazushi tu! Kwenye mitandao wanadai kuwa eti uwa hawatizami TBC kisha ni ya CCM. Wakiwa majumbani mwao, wanatazama TBC ili waone cha kuzusha mitandaoni na bila shaka hata Redio UHURU 95.7 hawa chadema wanasikiliza tu. Kama hawafuatilii TBC, wamejuaje kuwa watangazaji wake wanawania nafasi za uongozi ndani ya CCM?
 
Kwani kunaubaya, Mbona Salum yupo CDM...
Nyie watu mnaupeo wa chhhinni sana wakufikiria
 
Back
Top Bottom