Watangazaji wa redio one stereo sio wazalendo?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Kwa bahati nzuri juzi tu nilifungua redio 1 kakt kipindi chake cha udondozi wa magazeti.
Mmoja wa Watangazaji maarufu alinishtua kidogo aliposoma fidia ya mmiliki ya makampuni ya IPP kudaiwa fidia ya Shilling Moja na Manji.
katika kusoma habari hiyo ilioandikwa na Nipashe mtangazaji huo alikataa kipengele cha shilling moja na kutamka billion 1.alisema mwandishi amekosea tu sio shilling 1 bali billion 1. kwa bahati nzuri mmoja ya mtangazaji mwenziwe alimkosoa na kusema shiling 1.
jee kweli mtangazaji huyo hajui kinachoendelea ktk kesi hiyo ikuhusu mwenyekiti wake?
sio mzalendo?
jee kuna mwandishi wa habari hajui kinachoendelea ktk kesi hiyo?
 
Back
Top Bottom