GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Tumechoka sasa kila kukicha Watangazaji wa Redio za Tanzania tena hizi za hapa Bongo jijini kabisa na wengi wao wakijinadi ni Watangazaji wazuri wakikosea Vitu vya msingi sana vya utangazaji hasa pale wanataja majina ya Nchi au Watu au Maeneo fulani.
Naomba nitoe kidogo darasa kwa maneno kadhaa ambayo yanaandikwaje na ukiwa katika Redio unatakiwa uyatangazaje au uyaiteje.
Hebu badilikeni bhana na redio ambazo zinaongoza kuwa na Watangazaji wanaotaja au kutamka vibya maneno ni zifuatazo:
Naomba nitoe kidogo darasa kwa maneno kadhaa ambayo yanaandikwaje na ukiwa katika Redio unatakiwa uyatangazaje au uyaiteje.
- Paris...mkilitamka semeni Pari na ondoeni hiyo " s ".
- Real Mallorca...mkitamka semeni Riali Mayoka na siyo Riali Maloka.
- Kenya...mkitamka semeni Kinya na siyo Kenya.
- China...mkitamka semeni Chaina na siyo China.
- Mexico...mkitamka semeni Mekiko na siyo Mexico.
- Ghuba...mkitamka semeni Huba kwa mfano Ghuba ya Uajemi mkitamka semeni Huba ya Uajemi.
- Lagos...mkitamka semeni Legosi na siyo Lagosi.
Hebu badilikeni bhana na redio ambazo zinaongoza kuwa na Watangazaji wanaotaja au kutamka vibya maneno ni zifuatazo:
- Clouds Fm
- E Fm
- Magic Fm
- Times Fm
- Sibuka Fm