Watangazaji wa Radio free africa mnaongelea siasa wakati hamjui siasa?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hawa watangazaji wa Radio free Africa wanaongelea siasa wakati siasa hawaijui Kuna mtu anajiita Denis na David kifupi nyie ni mburura wa siasa, mumeshindwa kufahamu chama tawala na vyama visivyokuwa na madaraka..huwezi kuviambia vyama visivyokuwa madarakani visifanye siasa maana kwakuwa chama tawala kinafanya siasa mda wote hapana mgawanyo kati ya serikali na chama.
Sasa hawa wakikurupuka nataifa litakurupuka hawa ndiyo watangaziji wetu leo.Ila kwakuwa RFA ni tawi la CCM sishangai.
 
Yule wa Dar ( madhani ni Denis) aliyesema akitiririka kisawa sawa anaweza kupoteza hata kazi ujumbe umefika. Anajua nini anaongea, ila yule dada aliye naye ndio hajitambui kabisa na amejaa unafiki na kujipendekeza
 
Nimewasikiliza nikawaonea huruma kuona wanaonge upuuzi kiti wasichokijua mbaya wanakiongea katika Radio.
 
Back
Top Bottom