Watangazaji wa itv/radio one | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watangazaji wa itv/radio one

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chibhitoke, Jun 1, 2010.

 1. c

  chibhitoke Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa kuwashauri watangazaji waliokuwa wanasoma magazeti leo asubuhi (kuanzia saa moja na robo asbh) Radio one wajitahidi kusoma kozi ya msingi ya lugha ya kiingereza maana walikuwa wanahangaika sana na maneno ya kiingereza.

  Yule mwanaume anasema ''socket breaker'' badala ya circuit breaker tena nimebaini hata kwenye tangazo la hizo bidhaa za Tropical nadhani ni mtangazaji huyo huyo anayesema socket breaker badala ya circuit breaker.

  Mtangazaji mwingine anayesumbuliwa sana na maneno ya kiingereza ni Abdallah Mwaipaya na wale wa Channel 10/Magic Radio wanaotangaza vipindi vya michezo hasa Shafii Dauda anapenda sana kiswanglish lakini mara nyingi sehemu ya kuweka kitenzi yeye huweka nomino

  Ushauri wangu kwao ni kuwa tuko wengi wenye matatizo ya kiingereza, lakini tusichoke kujifunza kwa kununua vitabu na kujiunga na shule zinazofundisha lugha hiyo
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kichwa cha habari na yaliyomo yananichanganya kidogo.(ITV/RADIO ONE/CLOUDS/MAGIC FM?)
   
 4. M

  Mswahela Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiingereza ni tatizo la Taifa, hasa kwa kizazi kipya; we leka vivo; wala usihangaike. Makosa yalifanywa miaka ya nyuma kukuza Kiswahili at the expense of English. Matokeo yake ndiyo haya leo tunashindwa kuwasiliana hata na majirani Anglophone wenzetu kama Zambia.
   
Loading...