Watangazaji wa Clouds wamshukia RC Happi wadai wao siyo Wajasiriamali ( Wamachinga)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,891
141,824
Watangazaji wa Clouds 360 wakiongozwa na Ngoma na Sasali wamempongeza Naibu waziri Mwita Waitara kwa kumrudi RC wa Iringa mh Happi.

Ngoma amesema si sawa kuwapatia waandishi vitambulisho vya ujasiriamali kwani wao ni wanataaluma wabobezi huwezi kuwalinganisha na Machinga.
Wamempongeza Mwita Waitara kwa kuliona hilo na kumtolea uvivu huyo kada wa chama tawala.

Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
 
Kumbe kuchukua kitambulisho cha ujasiriamali ni dharau kwa wanyonge
 
Back
Top Bottom