Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

Kote watakwenda kwa wazungu lakini 2020 watarudi kwetu kuomba kura. Waache wachonge siku wakiambiwa posho kule Bungeni zimepungua sijui watasemaje mana nchi itakuwa haina mapesa ya kuwapa. Wote tutasota...............
 
Hassan Ngoma ni mbumbumbu zuzu juha na kilaza namba moja nchini hajuia chochote ni zezeta hajua hata maana ya neno Uzalendo ni watanzania gani wamelazimishwa kuwa wanasiasa? Kuna watanzania gani wamewatuma hao watangazaji njaa kuwakilisha mitizamo yao? Waache kuwasemea watanzania kwa mambo yao binafsi ya kusaka Teuzi, kwanza watakuja kumpinza huyo Dada Raia wa Uganda akiyekulia kenya lakini anamiliki passport ya Tanzania akafichuliwa siri zake na mambo mengine ambayo Hassan ngoma kamfanyia Ruge kuanikwa baada ya kuwa alitumwa na Le mutuz ambaye na yy alitumwa na Bashite.

Du! Mambo ni moto
 
Meneja kasema waongeee hivyoo wao n kina Nani hasa wasitimizee??????, Luge alipewa PESA za kutibiwa km Rai ila anayepaswa kupata stahiki za matibaba kisheria hapewi. Ko ni sehemu na mwendelezo wa shukran tutegemee mengi kutoka kwao kwenye uchagu ujao wa s/mtaa
 
Hassan Ngoma ni mbumbumbu zuzu juha na kilaza namba moja nchini hajuia chochote ni zezeta hajua hata maana ya neno Uzalendo ni watanzania gani wamelazimishwa kuwa wanasiasa? Kuna watanzania gani wamewatuma hao watangazaji njaa kuwakilisha mitizamo yao? Waache kuwasemea watanzania kwa mambo yao binafsi ya kusaka Teuzi, kwanza watakuja kumpinza huyo Dada Raia wa Uganda akiyekulia kenya lakini anamiliki passport ya Tanzania akafichuliwa siri zake na mambo mengine ambayo Hassan ngoma kamfanyia Ruge kuanikwa baada ya kuwa alitumwa na Le mutuz ambaye na yy alitumwa na Bashite.
Ruge aliwekewa kitu kibaya kwenye chakula na mmoja wa hao hao watangazaji wa 360 na kama wameanza ujinga wao tutaanika unyama wao A-Z wapate fundisho
Mchangie mkuu kwani mtu aliyemteketeza Ruge leo kaanza kuumbuka mungu ameanza kufunua siri kwa njia za kisayansi subiria utapewa Movie yote A-Z
Link Rais Magufuli atoa dola 20,000 kusaidia matibabu ya Ruge Mutahaba mkurugenzi wa CMG - JamiiForums


 
Badala ya mtu kuleta hoja yake, akikutana na mada ngumu hana point za kuchangia anaanza kuita wenzie vilaza na kuporomosha kila aina ya neno baya. Kama huna point unaweza ukajihudumia ukaenda kulala tu sio lazima ucomment au ndio wale wa kulipwa kwa INTERACTIONS walizofanya mitandaoni. Sasa naomba maboss wao waongeze kipengele cha HOJA sio kuandika tu upupu.
Wewe mwenyewe ni upupu hujitambui unawezaje kujua hoja? Aliyekuambia una Akili ni nani? Kama huko wanakuona una Akili basi hao wanaokusifia watakuwa mbumbumbu mara dufu
 
Ajenda za Taifa? hivi kuna yeyote kati yao aliesikiliza mahojiano ya Lisu na vyombo vya habari vya nchi za nje? Ni ajenda gani iliyozungumzwa? Hivi hawa wanajua nini maana ya ajenda?

Pia Lisu amezungumza na vyombo vya habari, hakuna ripoti yeyote ile inayosema kuwa amekutana na viongozi wa nchi za huko aliko na kuzungumza issue za Tanzania. Alichofanya Lisu ni kuujulisha ulimwengu kile anachoamini kinatokea nchini Tanzania, inawezekana ikawa ni kweli au si kweli alichosema, lakini sikubaliani kuwa kwa kufanya mahojiano na vyombo vya habari vya nchi za nje kuhusu hali ya siasa nchini Tanzania ni kubeba ajenda za taifa na kuwapa wakoloni.

Nadhani waandishi hawa kwanza wangelikaa chini na kutafsiri maana ya maneno ajenda na mkoloni. Halafu watuambie ajenda za taifa ni nini na vipi lisu aliweza kuwa nazo.
Hassan ngoma anasaka uteuzi kwa kutumia kivuli cha Tundu Lisu na zito kabwe
 
Kwa kweli tangu raisi Magufuli aingue madarakanini kama upinzani ulishakufaautomatically sababu agenda zao zote zilizowapaisha miaka yote raisi anatekeleza sasa hivi wanatia huruma sana na agenda zao haziko wazi. Kama tukiendelea kuwa na upinzani wa aina hii ccm watatawala milele maana wanajua kubadilika kutokana namchezo sio kweli kwamba wananchi wote wanaipend ccm ila kwa aina ya wapinzani tulionao ni bora ya ccm mara mia.

Uzalendo hauna chama binafsi naamini kuna wapinzani ni wazalendo kuliko hata baadhi ya watu ambao wako ccm na ndio maana imechukua muda kumpata raisi mzalendo wa kweli kutoka ccm. Hivyo ni kazi kwa vyama vya siasa kuteu wagombea wazalendo kama kweli wanataka kutuletea maendeleo.
Acha ushamba wako toka kolomije, mwambie aruhusu mikutano ya siasa uone moto wa Wapinzani, hakuna uhuru wa kufanya siasa mnakandamiza demokrasia iweje Wapinzani waonyeshe uwezo wao? Uzalendo ni kutafuna trilion 1.5 kisha kumnyamazisha CAG? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge? Uzalendo ni kununua ndege kwa bei kubwa kifisadi kula 10% kwenye miladi yote mikubwa? Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani?
 
Watangazaji wa Clouds tv wamewashambulia vikali wabunge Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe kwa kubeba ajenda za taifa na kuwapelekea mabwana zao wakoloni huko ulaya.
Wamedai kuwa baada ya Lisu kuichafua nchi huko UK na Marekani na kukwama kwenda German ambako amenyimwa visa sasa amemtuma Zitto akakamilishe misheni hiyo iliyokosa uzalendo.
Waandishi hao Ngoma na Sasali wamewaonya wanasiasa wa Tanzania iwe CCM au wapinzani wasitake kuwalazimisha watanzania wote kuwa wanasiasa kwani kuna watu wengine kwao siasa ni dhambi.
Ijumaa karim
Maendeleo hayana vyama!
Kweli kabisa, sasa sijuwi wakiingia madarakani watafanya nini?! Je Zitto na TA Lissu watawalamba miguu wazungu ili washibishe matumbo yao au watajali maslahi yetu?! Maana wote wawili hawaonyeshi dalili zozote zile kama vile wanatusaidia zaidi ya kurusha matope na kutaka tukose misaada ?!
 
Clouds walishabikia sana Lissu alipomiminiwa risasi. Tena walitegemea angekufa kwa kukosa hela za matibabu.

Tazama Mungu asivyochezewa - Lissu anapona na Clouds wanaomba msaada boss wao apate matibabu.

Lissu na umaskini wake kaponywa na michango ya watu wadogo. Clouds na mapesa yao, pamoja na kuwa na marafiki wenye nafasi, wanalia pesa haitoshi.
 
Clouds walishabikia sana Lissu alipomiminiwa risasi. Tena walitegemea angekufa kwa kukosa hela za matibabu.

Tazama Mungu asivyochezewa - Lissu anapona na Clouds wanaomba msaada boss wao apate matibabu.

Lissu na umaskini wake kaponywa na michango ya watu wadogo. Clouds na mapesa yao, pamoja na kuwa na marafiki wenye nafasi, wanalia pesa haitoshi.
Kumbe Lisu ni maskini?!
 
Back
Top Bottom