Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

Hassan Ngoma ni mbumbumbu zuzu juha na kilaza namba moja nchini hajuia chochote ni zezeta hajua hata maana ya neno Uzalendo ni watanzania gani wamelazimishwa kuwa wanasiasa? Kuna watanzania gani wamewatuma hao watangazaji njaa kuwakilisha mitizamo yao? Waache kuwasemea watanzania kwa mambo yao binafsi ya kusaka Teuzi, kwanza watakuja kumpinza huyo Dada Raia wa Uganda akiyekulia kenya lakini anamiliki passport ya Tanzania akafichuliwa siri zake na mambo mengine ambayo Hassan ngoma kamfanyia Ruge kuanikwa baada ya kuwa alitumwa na Le mutuz ambaye na yy alitumwa na Bashite.
Asshole
 
Iangalie TBC inavyotia huruma , nadhani wakati ule Kamati Kuu ya Chadema inaweka maazimio ya kuhamasisha wananchi kuisusia hukuwemo humu jf
Joseph kusaga lazima atapagawa leo kwani upunguani wa Hassan Ngoma unaigharimu TV yake, wananchi wanaanza kuidharau kwa kasi ya kutisha
 
Watangazaji wa Clouds tv wamewashambulia vikali wabunge Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe kwa kubeba ajenda za taifa na kuwapelekea mabwana zao wakoloni huko ulaya.

Wamedai kuwa baada ya Lisu kuichafua nchi huko UK na Marekani na kukwama kwenda German ambako amenyimwa visa sasa amemtuma Zitto akakamilishe misheni hiyo iliyokosa uzalendo.

Waandishi hao Ngoma na Sasali wamewaonya wanasiasa wa Tanzania iwe CCM au wapinzani wasitake kuwalazimisha watanzania wote kuwa wanasiasa kwani kuna watu wengine kwao siasa ni dhambi.

Ijumaa karim
Maendeleo hayana vyama!
Mbu x 3
 
Kweli kabisa, sasa sijuwi wakiingia madarakani watafanya nini?! Je Zitto na TA Lissu watawalamba miguu wazungu ili washibishe matumbo yao au watajali maslahi yetu?! Maana wote wawili hawaonyeshi dalili zozote zile kama vile wanatusaidia zaidi ya kurusha matope na kutaka tukose misaada ?!
Wewe mvuta Bangi acha ushamba wako wa kolomije kwani bila wewe na Bashite kumpiga Risasi Tundu Lisu leo angekuwa huko ulaya? Unyama unyanyasaji Uonevu wenu ndiyo umepelekea vyote vitavyokuja haijalishi ni vya namna gani lakini tambua Sumu ya Tabu Nchini Tanzania imeletwa na udikteta wa CCM
 
Heeeee tuliwahi kua.biwa kuna mfanyakazi pale cloud aliweka hirizi ndo maana Ruge figo zimegoma

Hassan ngoma alipewa kitu na Le mutuz akamwekea kwenye kinywaji siri ilivuja kitambo huko clouds wote wanajua Sinema yote ikiwemo Hassan ngoma kuhitaji cheo cha Ruge au magufuli amzawadie Katibu Tawala au mkurugenzi au U-DC kajitoa fahamu zote akiwa na lengo la kukwaa uteuzi.
 
Back
Top Bottom