Watangazaji TV hawajui tofauti ya Live show na Talk show

Talk show unachonga sana mdomo na kuongea sana Live show ni kamera tu inaongea kwa kuonyesha tuki.mubashara tukio.husika zaidi ya adilimia 90

Lakini msiba wa Magufuli.nilichokiona waandishi wanageuza live show tukio mbashara kuwa talk show
1616481867646.png
 
Yaan hata mim nimelliona imekua kama moviez za lufufu, kutuhadisia tu,.saa nyungine unakua unataka kusikia wanachosema ila unakaa kumsikilza mtangazaj nae sijui anaongea ninana unakuwa unaona live unakuta haya mtazamaj hiv na hiv wakat wewe mwenyew unaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara turejee studio kidogo tupate maoni kidogo wanakera kinoma, maoni maoni ya kazi gani? Na hapo umekuta wamekata kulionyesha tukio lilikuwa linaendelea.
 
Mara turejee studio kidogo tupate maoni kidogo wanakera kinoma, maoni maoni ya kazi gani? Na hapo umekuta wamekata kulionyesha tukio lilikuwa linaendelea.
Kabisa yaani so boring .Lakini kama ni hivyo wanatakiwa kuondoa lile neno live au mbashara ili waendelee na porojo zao .Mbashashara au live ni tukio lenyewe ukihama kwenda studio kupiga porojo ondoa neno live wao unakuta hawatoi.sasa hapo wanakuwa wameweka Live au mbashashara kitu gani? Wakati kamera haziko kwenye tukio ziko na sura zao tu ?
 
Tc zetu wamashindwa kuchukua video kutoka angani..nilifikiri kwenye hizo helicopter zinazopita juu wangebeba waandishi wa habari...Ili tupate na view ya kutoka juu.
 
Talk show unachonga sana mdomo na kuongea sana Live show ni kamera tu inaongea kwa kuonyesha tukio mubashara tukio husika zaidi ya asilimia 90

Lakini msiba wa Magufuli nilichokiona watangazaji wanageuza live show tukio mbashara kuwa talk show yao
Ndo maana pale Mbagala tbc walipewa dk 15 wawe wameondoka
 
ndo maana pale mbagala tbc walipewa dk 15 wawe wameondoka
Walitakiwa wawaelimishe kwanza kuwa mumekuja hapa kuonyesha tukio live au mubashara au mumekuja kutumia hili tukio kama talk show sio Live? wangejibu kwanza kabla ya kuwa 15 minutes to go!!!
 
Kabisa yaani so boring .Lakini kama ni hivyo wanatakiwa kuondoa lile neno live au mbashara ili waendelee na porojo zao .Mbashashara au live ni tukio lenyewe ukihama kwenda studio kupiga porojo ondoa neno live wao unakuta hawatoi.sasa hapo wanakuwa wameweka Live au mbashashara kitu gani? Wakati kamera haziko kwenye tukio ziko na sura zao tu ?
Wanafanya kwa mazoea bora liende tu.
 
TBCCM mje huku kuna jambo lenu
Maana naona kama mnachezea kodi zetu tu pumbaf zenu TV ya taifa halafu hata drone camera hakuna yaani mpo local kama RTD ya mwaka 1972 huko na wakati hii ni 2021
Kuweni wabunifu na wajanja kama wenzenu huko mambele,
TBC wana vifaa bora vilivyothibitishwa na TBS lakini wafanyakazi wao wana mind za miaka ya ujima aaaaagh!
 
hasa tv ya azam vijana watangazaji wameajiriwa sasa wanataka waonekane studio kila mmoja na mwenzake kijana anakuwa na msichana wanazungumza sana waonekane
 
Back
Top Bottom