Watangazaji Na Wadaduvi wa magazeti redioni wanapotosha maudhui ya Waandishi au gazeti husika

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
5,804
2,000
Mimi ni mpenzi wa kusikiliza redio Na vichwa vya habari vya magazeti na wanavyojiongeza, lakini naona kuna wakati wanapotosha taarifa yenyewe Kwa kutokuelewa au kuupigia chapuo upande fulani. Mfano ni hili suala la bajeti Na hii kodi ya barabara (road tax) ambayo sasa imewekwa kwenye petrol ili kutotoza Yale Magari yasiyokuwepo barabara.
Sasa kumekuwepo wenye fika kwamba Kwa kuwa tu imewekwa kwenye mafuta basi itaongeza bei ya nauli Na gharama zingine Za Biashara , bila ya kuwa Na jeduwali la gharama Za muhusika ilipokuwa kuwa mwanzo Na sasa hivi ilipowekwa kwenye bei ya mafuta. Na pili bila kuelewa kwamba gharama za uzalishaji ni gharama ambazo zinaruhusiwa kutolewa kabla mtu hajapigwa kodi ya mapato
Kwa faida atakayo pata.
Hata kwenye suala la makaniki Na dhahabu kuna wanaongelea suala la 4% bila kuielewa hiyo royality analipwa nani. Kuna wanaofikiria au kuelezea kana kwamba hiyo ndio serikali kuu inapata wakati ukweli hiyo ni mapato ya halmashauri ilipo hiyo migodi.
Kilichokuwa kinatarajiwa Kwa serikali kuu Kwa mujibu wa mawaziri husika walipo peleka miswaada ya serikali kuachana Na Biashara ni kodi ya mapato Kati ya 30% mpaka 40%.
Hivyo nawaomba waandishi wetu mjaribu kusoma au kufanyia utafiti kitu ili uweze kukielezea vizuri au Kwa ufasaha.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
24,292

Wao si wanasoma kama gazeti lilivyoandika au wanaweka maneno yao?
 
bne

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,570
2,000
Wewe ndiye mpotoshsji mkuu na unaleta uwongo wako hapa ukitufanya wote wajinga.
Utetezi wako wa chama chako na serikali yake hutasaidia kitu labda useme kuwa unaona aibu kwa ajili ya serikali yako.
Ukweli ni kwamba kiasi hicho cha asilimia 4 ndicho ambacho serikali kuu inaenda kupata sasa unapoleta zako kawadanganye wajinga
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
5,804
2,000
Wao si wanasoma kama gazeti lilivyoandika au wanaweka maneno yao?
Wanaongeza Maneno Yao Na kibaha zaidi hata ukweli wowote.
Mfano kodi ya barabara Kwa mfumo wa zamani ilikuwa ni fixed cost lakini sasa hivi ni variable cost Na watu wengine wamefanya mpaka mahesabu Kwa mfano ukitumia ltr 3,000 Kwa mwaka x tshs 40 Kwa lita itakuwa tshs 120,000 hivyo kuwa pungufu zaidi Kwa mtu aliyekuwa analipa tshs 250,000 Kwa mwaka . Lakini mtu anavyo dadavua Kama vile hii kodi itakuwa mzigo mkubwa ambao utasababisha nauli Na gharama zingine kuongezeka.
Na Kwa mfanya biashara mfano wenye malori au mabus hii kodi ni allowable deduction wakiwasilisha mapato Na matumizi yao mwisho wa mwaka hivyo kuwapa nafuu ya corporation tax.
Na zaidi ya hapo sote tunajua Farida ya barabara nzuri inapunguza cost Za usafiri Na kuongea tija, comfort Na kudumu Kwa vyombo vya usafiri.
Kuna moja alidai kwanini isufutwe kabisa au iwekwe kwenye kodi nyinginezo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom