Watanganyika tulimkosea nini Mwenyezi Mungu?

1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri)

2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi)

3. Elimu duni (watoto wa wanyonge)

4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto)

5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele)

6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai)

7. Lishe duni na udumavu (uwezo mdogo wa kufikiri)

8. Bunge dhaifu (linatimiza matakwa ya CCM na si Watanzania)
9.
Kosa ni kukumbatia "mumiani" a.k.a ccm! Imejaa vilaza na roho mbaya kuliko ibilisi.Siku ccm ikipigwa chini "ukombozi" utakuwa mlangoni.
 
1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri)

2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi)

3. Elimu duni (watoto wa wanyonge)

4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto)

5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele)

6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai)

7. Lishe duni na udumavu (uwezo mdogo wa kufikiri)

8. Bunge dhaifu (linatimiza matakwa ya CCM na si Watanzania)
9.
CCm ni shida wanajari tu matumbo yao lkn wana mwisho
 
sio ujinga mkuu ni uwezo mdogo tuliojengewa na serikali za ccm kwa nyakati tofauti ili tuwe watumwa ndani ya nchi yetu.
Tulilishwa ujinga, tukaupokea. Lakini hatutaki kuondokana nao, tumeamua kuuishi na kuutumikia. Tumekuwa wajinga wa kudumu - mjinga wa kudumu huitwa mpumbavu. Mjinga, kuna siku huwa anaelimika.
 
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.

Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.

Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?

Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
usijitie mjuzi sana wa mambo na utetezi wako uliojaa shombo,sema serikali imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi huku ikijinasibu kuwa ina rasilimali nyingi alafu inashindwa kuzi utilize
 
Tulilishwa ujinga, tukaupokea. Lakini hatutaki kuondokana nao, tumeamua kuuishi na kuutumikia. Tumekuwa wajinga wa kudumu - mjinga wa kudumu huitwa mpumbavu. Mjinga, kuna siku huwa anaelimika.
na akielimika anakuwa hatari sana kwa taifa
 
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.

Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.

Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?

Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Unashidwa Kufanya kazi unakuja kulaumu ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom