WaTanganyika baada ya kuona Forodhani Park imekuwa na hadhi ya kimataifa nao ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WaTanganyika baada ya kuona Forodhani Park imekuwa na hadhi ya kimataifa nao ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiba, Aug 2, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Wapi kwa wapi jamani Zanzibar wapo mbele sana ila matatizo ya Muungano ndio yameididimiza ,ona hawa baada ya kusikia kuwa ile sehemu ya aina yake ya kujipumzishia pale Mjini Unguja imekuwa kama Ulaya tayari eti nao wameanza kujaribu ,mtapata tabu sana lakini hamfiki mbali kila kitu kitakauka kwani roho ya baaadhi yenu hawaitakii Zanzibar maendeleo hivyo wakilaniwa wao basi nchi nzima ya Tanganyika nayo italaanika ,sasa hapa haijulikani hata wanafanya nini ,ni wizi tu huo ,ukiuliza hela inayotumika hapo ni zaidi ya bajeti ya Tanzania nzima ,au uongo ?
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  We Mwiba wakati mwingine!!! sasa hiyo forodhani inahusiana nini na picha hii!!! Na, kama si Aga Khan, Karume au CUF wangeweza kukarabati Forodhani?
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  WaTanganyika ndo watu gani? sisi ni wa-Tanzania, ukitaka kutofautisha na visiwa tuite wa-Tanzania bara.
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wewe hebu uliza huyo Agha Khan amelelewa wapi ?

  Na ukweli ndio huo baada ya kusikia ndio nao eti wameanza kupnda na kupalilia barabara ,hivi barabara za bongo si unazijua kama nywele za mtu mwenye kipara ,hazijulikani kama zina bustani au zina vichaka ,basi pandeni japo michungwa katikati ya njia ,si mnaona Zenji wameshaanza kupanda mnazi kitamli kwenye barabara zake hizozhizo chache lakini wamezifanya ni sehemu ya bustani na zinapendeza sana. Wananchi wamepata moyo na kupandisha mori wa kuihuisha nchi yao iliyoambukizwa kensa na Muungano huu uliojaa wezi.
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha mnaanza kulia hata bado !!! Hakuna WaTanzania ndugu kuna waTanganyika na WaZanzibari sasa kama mnaona aibu kujiita WaTanganyika ,hilo ni lenu ,hata juzi nilikuja kutengeneza pasi yangu mpya ya kusafiria kwa ajili ya kwenda South Afrika kutazama world Cup ,jamaa wa hapo Dar aliniambia wewe Mzanzibari mbona unakuja kutengeneza pasi hapa huko wamekunyima nini ? Nikamwambia nataka kuchukua uraia wa Tanganyika basi alicheka sana na kuonekana mwenye furaha maana cheti changu cha kuzaliwa nimeandika nimezaliwa Tanga wakati nimezaliwa Chanja njawiri.
   
 6. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  waPemba mnamatatizo ninji! sisi ni raia wa Tanzania, tumeambiwa hivyo toka tunazaliwa, tumejifunza hivyo mashuleni, tumejitambulisha hivyo duniani kote, hivyo sisi ni waTanzania.
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  kama ningekuwa Mipango miji hii sanamu ningelingoa na kulipeleka Mnazi mmoja au kule wizara ya Ulinzi its an eye sore kusema ukweli
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sasa na hapa napo una lalamika nini?
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  waTanganyika utawaweza? wao kila kukicha ufisadi tuuu
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wazanzibari uta waweza? Wao kila siku kuilalamikia Tanganyika tu ila bado Kwenye Muungano wapo tu.
   
 11. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Watoto wa watumwa (wazanzibar) mna maneno ha ha ha ha
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Na wajaribu kutoka waone....!!
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Unajua siyo lazima uanzishe thread wakati unajua kabisa huna la maana ila labda umejikuta huna cha kufanya. JF siyo mahali pa wewe ku-refresh mind yako kwa kuandika ujinga.... kakojoe ulale.
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hivyo vitisho vya aliefumaniwa kunyatia mafuta ya Zanzibar,mkitaka msitake maendelo yalianza Zanzibar na yataendelea kuwepo hivyo hivyo ,maana hiyo Forodhani Park mnaiyonea gere eti nanyi mmeanza kufyeka na kusafisha masanamu ,sie sanamu letu tumelikarabati na sasa lina rangi ya fedha ,najua mida si mwingi nanyi mtaona mmepitwa.Sasa hao jamaa haijulikani kama walimia majani au wanatibua ,wizi tu hapo ,mkubwa ameshachota fedha ya kununulia vitendea kazi.
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Na ujuaji wako Zanzibar hakuna aliefanywa mtumwa ,wala hakuna hilo ,kama ni mtumwa basi walitoka huko mabara juu ,milimani maporini ,halafu kama huifahamu Zanzibar kaisome historia ,huko utajiona kama wewe ndie ulinunuliwa kutoka misitu ya Kongo na Rwanda na kuletwa pwani na kuuzwa,kwa maana wewe uliekulia hapa pwani siku hizi ni kitukuu cha mtumwa sijui kama unalielewa hilo ,au umejua kuvaa suruali na shati na kufunga tai sasa unajiona kuwa ni mzalendo wa Nchi hii ,kama huelewi tarehe zako uliza watu wakuambie ,hebu nitajie kabila lako tuone kama hukutoka malawi au Zambia na hapo ndio itakuwa umebahatika kuna waTanganyika wana asili za huko zaire,wametua hapa na kuona bahari ndio sasa wana kiburi na kujiona kuwa wana haki ya kila kitu ,ndugu usichimbue historia utaumbuka.
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sasa wewe mwenye la maana tangu ujiunge hapa hivi umeanzisha TOPIC ipi ,maana hata unachochangia hakina kichwa wala miguu.
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wewe na seif sharrif hamad mna mawazo sawa, ila yeye kakuzidi elimu na maarifa. Kama siku zote haja zako ni za aina hii basi nawaonea huruma watoto wako.
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ndio hivyo hivyo wewe na Makamba sawa sawa ila wewe umemzidi ujinga nauonea imani ukoo wako.
   
 19. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Yaani wewe Forodhani Park ndio maendeleo??
  PLEASE GIVE US A BREAK!!
   
 20. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Wabongo kwa copy and paste utawawezaaaaaaaaaaa!!!!!!
   
Loading...