Pney08
Member
- Jun 22, 2019
- 64
- 37
Mm ni designer wa nguo mbalimbali
Nauza nguo zilizodariziwa na nguo za mishono mbalimbali plus size pia sijawasahau
Mwenye uhitaji wa nguo wadada kwa wakaka
Usisite kuni pm nitakujibu
Nguo ni za kushona, pata kwa bei nafuu tu na za ukweli
Bado sijapata sehemu rasmi za kuwekea kazi zangu ili ukihitaji nakuletea ulipo kwa wakazi wa dar-es-salaam tu!
Asanteni,
Hopeful nitapata wateja humu ndani