Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai.

Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla ya Jumapili, kauli hii iliwashtua wengi wasijue atarudije na atarudi kutoka wapi, ni kweli kabla ya Jumapili ile Roma akatupwa na kuokotwa na watu wema.

Hoja yangu kwa leo siyo hii, bali ninataka kujua Wasanii wengine wa Tanzania waliopiga kelele na kupinga msanii mwenzao ambaye si Mwanasiasa Roma kutekwa na kutaka aachiwe huru.

Unaweza kuweka majina ya wasanii hao hapa ili tuwatambue.

Huna akili we kahaba
 
Una tatizo kubwa sana upstairs.
Yawezekana maana hakuna mkamilifu , ila ni vizuri sana kila mtu akishinda mechi zake , ifahamike tu kwamba misaada iombwe kule tulikopeleka mboga , sisi ambao kichwani hatuna kitu tuachwe tu
 
Back
Top Bottom