eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,653
- 13,794
Kuna youtuber flani mbongo anafanya reactionsDunia nzima inajua ukitaka kwenda kutalii bila ya bughudha ya kushurutishwa kuvaa barakoa au mikwala mingine mingi. Dunia inajua kuna nchi moja tu iko mashariki ya Afrika ndiyo haina hayo mafua. Nayo ni Tanzania.
Kuna youtuber flani mbongo anafanya reactions
Juzi karudi na kusema ilikha anaugua lkn sai ako vizuri karudi ila bado ana matatizo ya kupumua..
Ila siwezi kumuanika hapa ila kw uzuri hakusema corona direct
Ndio wanatuletea kirusi kipya cha Uingereza, hatarious sheet
Wapumbavu tu ndio wanaamini hakuna covid 19 Tanzania
Mmoja wapo ni wewe unaeamini Covid 19Wapumbavu tu ndio wanaamini hakuna covid 19 Tanzania
🤣 🤣 🤣 yes, ukiichukulia positivelyAisee!!Covid-19 ni sehemu ya fursa.
Ni kweli kbxBasis tumpe mikumi natano tuu, nasema uwongo ndg zangu?