witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,089
Kwahiyo hamna kituAkikujibu ni tag watu tuko huku kazi hakuna krusa nyingi zimepaki tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hamna kituAkikujibu ni tag watu tuko huku kazi hakuna krusa nyingi zimepaki tu.
Ukiweza kuishi na mhindi basi we nyokooInaboa sana aisee. Mbona sisi wengine hatuwez lamba makalio ya mtu hivi jaman.
Kazi gani kufanya hivi bila amani?
Nimewahi fanya kazi kwa wahindi. Nilikaa mwezi na nusu. Yaan kilaa saa unafokewa na sababu huijui wala huioni. Mpk vile vipele vya baridi vinaniota. Nikawa najikaza. Siku ya siku boss anagomba mambo hayaeleweki kama kawaida na wala hakikuhusu akiwa anaongea nikaenda kwenye printer nikachukua rimu nikacharaza resignation letter nika wacc kila mhusika. Anaendelea kuongea nikamtwanga talaka yake. Akashtuka maana wengine huwa waoga. Yaan waswahili wote pale walikua wanawaogopa na kuwanyenyekea mno wale wahindi. Walikua wananyanyasika. Boss anasoma barua ananambia come and lets talk like a brother and sister.. nilimjibu tu my momma gat no big son like you...byeee. hawakuamini. Nikaenda finance nikakusanya helanyangu nikasepa. Si nikale machalari na bibi yangu kijijini.
Hebu tusinyanyasane bwana. Uoga ukizidi tatizo sana
Alienda na KoonaAliyekuwa mkurungenzi wa Kilimanjaro airport aliendaga wapi?
Ukiona hivyo Mkuu ujue kuna agenda nyuma ya pazia. Tumeshawazoea hawa watu na propaganda zao mfu.Mimi nafurahi sana tukipata watalii. Nafurahi mno. Ila hakina kitu kinaniboa kaka kuwa chawa. Kila kitu asante fulani. Asante fulanii. Watu wanakuja kwa pesa zao. Nikiwa na hela zangu ndo nije lwasababu yako kwani raha unanipa wewe? Sipendi kunyenyekeana kwa style hii.
Hamna kitu wageni niwa kubahatisha hata kipind cha lowr season ni afadhali kuliko sasaKwahiyo hamna kitu
Wanaboa balaaUkiona hivyo Mkuu ujue kuna agenda nyuma ya pazia. Tumeshawazoea hawa watu na propaganda zao mfu.
Nilishaapa sitofanya nao kazi hao viumbe. Wanyanyasaji mno. Wanapenda kunyenyekewa. Kuna mwingine naye hapohapo yeye alikua store manager kinajisikia kama mwanamke. Dharauu kibaooo... sasa nikasubiria wakiwa wamejazana wengi wabongo na waswahili kwa hizo dharau zake... nikamwuliza why are u not behaving like a man? Where u mistreated in ur childhood? Anashangaa maana wabongo wanawatwtemekea. Nikamwambiaje , now... u have just come all the way from India. Make sure u behave well before u touch my last nerve. U are just a being with a contract just like me so am not gonna go on ur knees. Nikaishia zangu. Ubaya tu sina tako kubwa ningemtingishia pia nikamfata boss mkubwa nikamwambia muonye jamaa wako kabla sijamfikisha mamlaka husika. Na akaitwa akaambiwaa naona mimi mkavu. Na salamu nikaanza kupataUkiweza kuishi na mhindi basi we nyokoo
Wale majamaa wa phd ya unyanyasaji
Sijaona jambo linalohitaji kujibiwa, hapa kinachozungumzwa zaidi ni maoni binafsi kuhusu kusifia rais katika kila jambo, mimi nimeweka kuonyesha ujio wa watalii kwa ushahidi, sijaona ushahidi wowote uliowekwa kupinga ujio wa idadi kubwa ya utalii zaidi ya tantalila za kawaidajoto la jiwe tunisha misuli tuone! Kumbe huku wewe hupewa za macho ndio maana ulipotelea ile sub-forum ya Nyangau?
Inawezekana ameenda katika sikukuu za Xmass na mwaka mpyaAliyekuwa mkurungenzi wa Kilimanjaro airport aliendaga wapi?
Tatizo langu na huyo msemaji ni hilo wigi tuu ndo maana i love being natural. Yaan kama mkichaaa. Kama hawezi si anyoe hizo nywele awe anachana? Nafasi kama hizo zinahitaji mtu smart kweli kweli.Inawezekana ameenda katika sikukuu za Xmass na mwaka mpya
Hahahahahahhaha nimecheka kama mwehu. Ungemtingishia hicho hicho. Ila hongera sana. Hao viumbe nawachukia kuliko rangi ya kijani ninavyoichukia. Kuna siku nilienda kuprint kazi fulani sasa nikakutana na muhindi kaharibu kazi yangu hapo nilimuonyesha nongwa ya wabongo.Nilishaapa sitofanya nao kazi hao viumbe. Wanyanyasaji mno. Wanapenda kunyenyekewa. Kuna mwingine naye hapohapo yeye alikua store manager kinajisikia kama mwanamke. Dharauu kibaooo... sasa nikasubiria wakiwa wamejazana wengi wabongo na waswahili kwa hizo dharau zake... nikamwuliza why are u not behaving like a man? Where u mistreated in ur childhood? Anashangaa maana wabongo wanawatwtemekea. Nikamwambiaje , now... u have just come all the way from India. Make sure u behave well before u touch my last nerve. U are just a being with a contract just like me so am not gonna go on ur knees. Nikaishia zangu. Ubaya tu sina tako kubwa ningemtingishia pia nikamfata boss mkubwa nikamwambia muonye jamaa wako kabla sijamfikisha mamlaka husika. Na akaitwa akaambiwaa naona mimi mkavu. Na salamu nikaanza kupata
Huwa sipendelei sana kuzungumzia kuhusu watu, huwa ninapenda kuzungumzia kuhusu matukio zaidi, au ideas.Tatizo langu na huyo msemaji ni hilo wigi tuu ndo maana i love being natural. Yaan kama mkichaaa. Kama hawezi si anyoe hizo nywele awe anachana? Nafasi kama hizo zinahitaji mtu smart kweli kweli.
Noop. Tunamuongelea ktk personality ya ofisini. Huko mtaani hata angevaa rambo nan ana muda nae. She is representing. Anapaswa kuwa smart. Tuache masikhara.Huwa sipendelei sana kuzungumzia kuhusu watu, huwa ninapenda kuzungumzia kuhusu matukio zaidi, au ideas.
Kaka, hizo ni nafasi zs uteuzi, mwenye mamlaka ya kuteua ndio mwenye kujua sababu za kufanya hivyo, majibu yako sio rais kupatikana hapa JF.Nafasi ya kukaimu ukurugenzi Kilimanjaro airport, imesababishwa na nini? Mhusika ambaye ni mkurungenzi mkuu wa Kilimanjaro airport alikwenda wapi? Mbona huyu mama amekaimu muda mrefu Sana? Je kulikuwepo na corona hapo Kilimanjaro airport? Hizi nafasi za kukaimu Zina mafhara makubwa Sana kwenye uongozi, kule igunga DED ni kaimu, kule Moshi manispaa DED ni kaimu, kule Geita mji DED ni kaimu. Yajayo..
Nimekumbuka ile clip mwananchi walipost mkurugenz wa KIA kama sikosei akisifia ujio wa wageni wa kichina kufurika vibaya mno wanapokea wagen mpk wanachoka yaaan watu waliongeaaaa... so ghafla ile post ikafutwa. Watu tafuta tafuta uzuri kuna watu tukio likika tu wanasave chaap. Yaan admin aliruka nayo nadhan walipigwa biti usikute ni sababu eh? Maana watu walichachamaa balaaa yaan mnaenda pokea wahusika ambao ndo gonjwa limesambaa kwao?Nafasi ya kukaimu ukurugenzi Kilimanjaro airport, imesababishwa na nini? Mhusika ambaye ni mkurungenzi mkuu wa Kilimanjaro airport alikwenda wapi? Mbona huyu mama amekaimu muda mrefu Sana? Je kulikuwepo na corona hapo Kilimanjaro airport? Hizi nafasi za kukaimu Zina mafhara makubwa Sana kwenye uongozi, kule igunga DED ni kaimu, kule Moshi manispaa DED ni kaimu, kule Geita mji DED ni kaimu. Yajayo..
Sidhani kama kuna sheria inayokataza kuvaa wigi, kinachoonekana hapa ni mapokeo kwa upande wako, kwasisi ambao hatupo sensitive sana katika upande huo wa muonekano wa mtu, hatuoni umuhimu wa hilo kulizungumzia, zaidi tunajikita katika utendaji wake.Noop. Tunamuongelea ktk personality ya ofisini. Huko mtaani hata angevaa rambo nan ana muda nae. She is representing. Anapaswa kuwa smart. Tuache masikhara.
au ningevaa kigodoro jamani. Nilichukiaaaa. Yaan sipendi kunyanyaswa mm. Baadaye waswahili wenzangu wakaja kunipongeza. Walifurahi Balaa. Labda niliwafungulia njia. Utafikiri yaan wao kazi wanazo wap tu kwamba ukiondoka hapo na maisha yako ndo mwisho wake.Hahahahahahhaha nimecheka kama mwehu. Ungemtingishia hicho hicho. Ila hongera sana. Hao viumbe nawachukia kuliko rangi ya kijani ninavyoichukia. Kuna siku nilienda kuprint kazi fulani sasa nikakutana na muhindi kaharibu kazi yangu hapo nilimuonyesha nongwa ya wabongo.
Wewe ndo umelazimisha iwe hisia. Ukweli is, anapaswa kuwa smart. Uongozi huu blah blah utendaji gani hasa? Kwaheri bwanaSidhani kama kuna sheria inayokataza kuvaa wigi, kinachoonekana hapa ni mapokeo kwa upande wako, kwasisi ambao hatupo sensitive sana katika upande huo wa muonekano wa mtu, hatuoni umuhimu wa hilo kulizungumzia, zaidi tunajikita katika utendaji wake.
Ila kwasababu wewe kwako ni jambo linalokukera, unao uhuru wa kutoa maoni yako. Muhimu ni kujua kwamba hajavunja sheria wala taratibu yoyote ile ya nchi wala maadili ya ofisi au cheo chake.
Mimi ninapendekeza tujaribu sana kupunguza kutumia hisia na mitazamo yetu iwe ndiyo yenye kuongoza nchi, hili jambo linajitokeza sana katika kipindi hiki cha uongozi wa awamu ya tano, badala ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, huwa tunazama zaidi katika hisia na mitazamo binafsi.