Watalii wafurika Tanzania katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka

Mimi nafurahi sana tukipata watalii. Nafurahi mno. Ila hakina kitu kinaniboa kaka kuwa chawa. Kila kitu asante fulani. Asante fulanii. Watu wanakuja kwa pesa zao. Nikiwa na hela zangu ndo nije lwasababu yako kwani raha unanipa wewe? Sipendi kunyenyekeana kwa style hii.
 
Niumie na propaganda?? Are you stupid? Ninafanya kazi na kampuni za utalii hivyo hali halisi ninaijua bila kuambiwa na mtu.

By the way, zile ndege za serikali zilizopelekwa ATCL mnazozipigia upatu zimeleta watalii wangapi hadi leo?
Vipi ulishaenda Mirembe kuchukua dawa zako za mwezi huu?
 
Hivi kwani hakuna sekta yoyote inayoweza kuwa vizuri pasipo kumtaja meko. Kila kitu neko meko meko asante blah blah. Kwani wao hawafanyi kazi kwa nyadhifa zao? Kwamba wao hawana efforts? Hizo kazi zingine anafanya nani? Halafu huwaga wa kada ya chini wanadharaulika sana wakati ndo wanafanya kazi kubwa. Yaan hizo sifa utafikiri Tz ilikua pori na hapakua na chochote ama lolote kila kitu tumeanza zero. Au ni mimi nina ego jamani? Hata maandiko hayapendi huu unafiki.
Ngoja nikalime mahindi mimi jamani.
 
Saizi kila kitu ni asante flani hadi watu utadhani wamelogwa
 
Saizi kila kitu ni asante flani hadi watu utadhani wamelogwa
Inaboa sana aisee. Mbona sisi wengine hatuwez lamba makalio ya mtu hivi jaman.

Kazi gani kufanya hivi bila amani?

Nimewahi fanya kazi kwa wahindi. Nilikaa mwezi na nusu. Yaan kilaa saa unafokewa na sababu huijui wala huioni. Mpk vile vipele vya baridi vinaniota. Nikawa najikaza. Siku ya siku boss anagomba mambo hayaeleweki kama kawaida na wala hakikuhusu akiwa anaongea nikaenda kwenye printer nikachukua rimu nikacharaza resignation letter nika wacc kila mhusika. Anaendelea kuongea nikamtwanga talaka yake. Akashtuka maana wengine huwa waoga. Yaan waswahili wote pale walikua wanawaogopa na kuwanyenyekea mno wale wahindi. Walikua wananyanyasika. Boss anasoma barua ananambia come and lets talk like a brother and sister.. nilimjibu tu my momma gat no big son like you...byeee. hawakuamini. Nikaenda finance nikakusanya helanyangu nikasepa. Si nikale machalari na bibi yangu kijijini.

Hebu tusinyanyasane bwana. Uoga ukizidi tatizo sana
 
Hii nchi utadhani iliundwa rasmi 2015 kila kitu ni pongezi kwa serikali ya Awamu ya Tano. Hizi ni dalili za kubaki madarakani. Dunia imebadilika sana sio kila kitu Rais Rais utadhani hakuna watendaji wengine wa chini yake. Ukipenda kutukuzwa sana ni dhambi kwa muumba wako
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom