Watalii wa ndani je huo ni mji wapi hapa Tanzania?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau Poleni na Maombolezi ya Hayati Baba wa Taifa yaliyoongozwa na MAMA YETU Rais SAMIA.
Kwa wale Watalii wa Ndani je Huo ni Mji gani hapa TANZANIA?
69a8368a4672191767c62609289c3deb.jpg
 
Wadau Poleni na Maombolezi ya Hayati Baba wa Taifa yaliyoongozwa na MAMA YETU Rais SAMIA.
Kwa wale Watalii wa Ndani je Huo ni Mji gani hapa TANZANIA?View attachment 1974594
Ukifika usiku mwanza basi mataa sehemu za milimani unaweza kusema bonge la mji nyumba nzuri zipo mlinani.

Subiri kukuche ? .unaweza kusema mabanda ya njiwa au ndege tai.

Maana unajiuliza wanashukaje kule na masofa,vitu vizito vinafikaje kule.

ila cha kushangaza umeme wamepewa
 
ukifika usiku mwanza basi mataa sehemu za milimani unaweza kusema bonge la mji nyumba nzuri zipo mlinani.
subiri kukuche ? .unaweza kusema mabanda ya njiwa au ndege tai.
maana unajiuliza wanashukaje kule na masofa,vitu vizito vinafikaje kule.

ila cha kushangaza umeme wamepewa
Mm nilijua ni kichuguu
 
Maji yanayoonekana hapo chini yanapa-disqualify kuwa Mwanza. Mwanza haipo sehmu inayofanana na hii halafu chini yake kuna maji. Maji yasingekuwepo, sehemu hii ingeweza kuwa ni Mwanza, maeneo ya Mabatini, kushoto ukiwa unatokea Nyakato unaelekea city centre, karibu kabisa na mjini
Mabatini Mwanza. Ukivuka hilo jiwe kwa juu ni maeneo ya Bugarika, Mwanza. Hilo ziwa hapo chini nahisi pamefanyiwa photoshop.
 
Back
Top Bottom