Watalii 100 Kutoka Uswisi watua nchini kutembelea vivutio mbalimbali

Cybercrime

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
3,246
1,113
Siku chache baada ya Watalii 300 kutoka Australia kutembelea nchini kwa mara moja,kundi lingine la Watalii zaidi ya 100 kutoka Uswis limewasili nchini na kutembelea vivutio vya Wanyama katika hifadhi za Taifa za ukanda wa kaskazini.
IMG_20180518_211804.png
 
Zamani walikuwa wanakuja watalii zaidi ya 200 na hakuna ambaye alikuwa atoa kiki lakini leo hii wakija watalii 3 nchi nzima inapigwa la mgambo.....mwambieni babu yenu akagawe mapapai kwa watalii
hawajaja kuomba chakula.
 
Hamna vi sugar mamy? Vijana fursa Hiyo ya kwenda Europe mchawi rasta Na kifaransa kwa mbaaali
 
South Africa kwa mwaka wanatembelewa na watalii milioni 10. hii ni wastani wa watalii 30,000 kwa siku. hapo hizo ndege kama hizo 300 kwa siku zinatua. Tatizo kufanya mambo bila malengo.

Kwasababu hatuna malengo tunataka watalii wangapi watutembelee hata wakija 100 tutafurahia kama mazuzu.
 
Back
Top Bottom