Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,450
- 799
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,
Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,DUNIA INAJUMLA YA WATALI 1.5BL WANATAFUTA WAPI WAKALE BATA KILA MWAKA | TANZANIA NI YAPILI KWA VIVUTIO ASILIA DUNIANI TUNAPOKEA WATALI CHINI YA 1M, IKOJE HII!?
________________________________________
Niseme kidogo kuhusu Rais Samia na "Royal Tour. "Tanzania ni nchi ya Pili kwa Vivutio vya asili duniani baada ya Brazili. Tofauti na nchi zingine 80% ya Watali wote wanaozuru Vivutio vya Brazili ni Wabrazili. Ni watali 6.5m ndio wanatoka nje ya Brazili kwa mwaka. Mwaka 2018|19 Brazili ilijikusanyia kiasi cha $97.11BL karibu Tshs 215 trilioni kama mapato yatokanayo na Utali.
Fedha hii inaweza gharamia bajeti ya Serikali ya JMT kwa miaka 5 mfululizo tena bila ya Mtanzania yeyote kutozwa kodi|tozo,Namaanisha hadi Vyoo vya kulipia viwe bure.Je,tumewahi kujiuliza kwanini hawa Brazili wakusanye Tshs 215trilioni kwa mwaka na Sisi tukusanye Tshs 5.3trilioni kwa mwaka sawa na tofauti ya Tshs 210trilioni ili hali Sisi ni Wapili baada ya wao kwa Vivutio duniani, Yaani Kwanini Wao!!? Rais Samia Suluhu amekuja na jibu ambalo ni "Royal Tour Film " na hapa lazima tutambue Tanzania Kiutali haifahamiki kabisa duniani heri ya Bongo Zozo.
Leo kwa mwaka Tanzania inapokea watali chini ya 1m pamoja na utitiri wa Vivutio ilivyonavyo, Chaajabu Ufaransa inayoongoza kwa Utali duniani haina twiga wala Simba inamagofu na Mnara ( all are man-made ) lakini inaingiza zaidi ya watali 89m na €56.2BL kwa mwaka sawa na Tshs 154trilioni,Hivi kwa vivutio tulivyonavyo nikweli tumeshindwa kuinyanga'nya hata Watali 5m tu kwa mwaka waje Tanzania!? Lazima tufahamu duniani kwa Sasa Utali ni biashara kipaumbele na msitegemee nchi yeyote duniani kutangaza vivutio vyenu zaidi ya Sisi wenyewe kwa Platform hizi za " Royal Tour Film. " Tatizo la Uhaba wa watali Tanzania sio tu Corona hata "Ushawishi " pia uko chini, Kwaakili ya kawaida ni ngumu zaidi kwa Mtali anayefahamu "Nini Kipo Tanzania " aache kuja kumtazama nyumbu|tembo "Live " pale Serengeti aende kumtazama tembo wa kwenye michoro kule Versailles Ufaransa,
Siku Mungu akitupa walau watali 5m tu kwa mwaka nchi yetu itaingiza zaidi Tshs 10trilioni kama mapato yatokanayo na Utali, Pesa hii inakwenda moja kwa moja kwa wanachi kwa njia ya kuwahudumia Watali na serikali itapata kiasi kama tozo ya Utali, Nchi hii inaweza kuendeshwa kwa Utali tu kama tu dunia itafahamu "Nini Kipo Tanzania. " Zaidi ya 50% ya watali wanaofika Kenya kwa Utali wamevutiwa na Vivutio vilivyopo Tanzania, inauma Sana na lazima tumshukuru Rais Samia kwaajili ya "Royal Tour Film "
Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,Lakini Sisi Tanzania pamoja na kuwa Wapili kwa Vivutio tena vya asili duniani tunaambulia watali 2m tu,Nadhani kunasehemu tulikwama na ndio Sababu ya Mungu kumleta Rais Samia na yeye kutuletea "Royal Tour Film. "Mnaolalamikia gharama za Tour rudieni kusoma andiko hili,
.........Kazi iendele.........
C&P
Tunahitaji kuhamasishwaUtalii ni hamasa iliyomo moyoni mwa mtu pamoja na umaskini wetu lakini pia sisi hatuna hamasa ya utalii, kumbuka kwamba kabla ya Wakoloni hawajafika huku Africa wazungu waliwatuma wapelelezi wao kwanza, kumbuka katika zama hizo za giza 1800s mtu anatumwa kuja Africa, Bara jipya kabisa kwao na mtu anajitoma kuja bila kujali hatari itakayomkuta; hii ndiyo nature ya hamasa ya moyoni ya kutalii na kutembea sehemu mbalimbali, hamasa hiyo Wazungu wanayo, baada ya hao wapelelezi kuja na kupeleka taarifa huko kwao kilichofuata unajua; kugawanywa kwa Africa na hatimaye ukoloni. Sisi Waafrica hatukutoka kwenda nje au hata ndani kutafuta makoloni kwasababu hatukuwa na bado hatuna hamasa ya kutalii, kutembea na hata kupeleleza mambo si tu ya kiuchumi bali hata kupeleleza/kutafiti mambo ya kisayansi.
Nimeandika hiyo historia kukazia kwamba Utalii ni jambo la moyoni au hobby ambayo sisi Waafrika wengi wetu hatuna.
100%√Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,
1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA
2.Rais mpole Africa -SAMIA. √
3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √
4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √
5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
Wanatamani ila uchumi upi? Huu wa tozo? Tanzania ni nchi ya ajabu sana yani! Pandisheni chart za vipato vya raia ili wawe na disposable income ya recreation...Mosi, tunatakiwa tukuze vipato vya wananchi.
..Uchumi wa Kati uonekane kwenye mifuko na matumizi ya Mtanzania mzawa.
..Pili, tujenge UTAMADUNI wa Watz kusafiri kwa malengo ya kutalii.
..Lazima tuwe na wazawa ambao wanatamani kwenda Serengeti, Ruaha, Zanzibar, Kigoma, etc kwa ajili ya kutalii.
Cc mulwanaka
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,DUNIA INAJUMLA YA WATALI 1.5BL WANATAFUTA WAPI WAKALE BATA KILA MWAKA | TANZANIA NI YAPILI KWA VIVUTIO ASILIA DUNIANI TUNAPOKEA WATALI CHINI YA 1M, IKOJE HII!?
________________________________________
Niseme kidogo kuhusu Rais Samia na "Royal Tour. "Tanzania ni nchi ya Pili kwa Vivutio vya asili duniani baada ya Brazili. Tofauti na nchi zingine 80% ya Watali wote wanaozuru Vivutio vya Brazili ni Wabrazili. Ni watali 6.5m ndio wanatoka nje ya Brazili kwa mwaka. Mwaka 2018|19 Brazili ilijikusanyia kiasi cha $97.11BL karibu Tshs 215 trilioni kama mapato yatokanayo na Utali.
Fedha hii inaweza gharamia bajeti ya Serikali ya JMT kwa miaka 5 mfululizo tena bila ya Mtanzania yeyote kutozwa kodi|tozo,Namaanisha hadi Vyoo vya kulipia viwe bure.Je,tumewahi kujiuliza kwanini hawa Brazili wakusanye Tshs 215trilioni kwa mwaka na Sisi tukusanye Tshs 5.3trilioni kwa mwaka sawa na tofauti ya Tshs 210trilioni ili hali Sisi ni Wapili baada ya wao kwa Vivutio duniani, Yaani Kwanini Wao!!? Rais Samia Suluhu amekuja na jibu ambalo ni "Royal Tour Film " na hapa lazima tutambue Tanzania Kiutali haifahamiki kabisa duniani heri ya Bongo Zozo.
Leo kwa mwaka Tanzania inapokea watali chini ya 1m pamoja na utitiri wa Vivutio ilivyonavyo, Chaajabu Ufaransa inayoongoza kwa Utali duniani haina twiga wala Simba inamagofu na Mnara ( all are man-made ) lakini inaingiza zaidi ya watali 89m na €56.2BL kwa mwaka sawa na Tshs 154trilioni,Hivi kwa vivutio tulivyonavyo nikweli tumeshindwa kuinyanga'nya hata Watali 5m tu kwa mwaka waje Tanzania!? Lazima tufahamu duniani kwa Sasa Utali ni biashara kipaumbele na msitegemee nchi yeyote duniani kutangaza vivutio vyenu zaidi ya Sisi wenyewe kwa Platform hizi za " Royal Tour Film. " Tatizo la Uhaba wa watali Tanzania sio tu Corona hata "Ushawishi " pia uko chini, Kwaakili ya kawaida ni ngumu zaidi kwa Mtali anayefahamu "Nini Kipo Tanzania " aache kuja kumtazama nyumbu|tembo "Live " pale Serengeti aende kumtazama tembo wa kwenye michoro kule Versailles Ufaransa,
Siku Mungu akitupa walau watali 5m tu kwa mwaka nchi yetu itaingiza zaidi Tshs 10trilioni kama mapato yatokanayo na Utali, Pesa hii inakwenda moja kwa moja kwa wanachi kwa njia ya kuwahudumia Watali na serikali itapata kiasi kama tozo ya Utali, Nchi hii inaweza kuendeshwa kwa Utali tu kama tu dunia itafahamu "Nini Kipo Tanzania. " Zaidi ya 50% ya watali wanaofika Kenya kwa Utali wamevutiwa na Vivutio vilivyopo Tanzania, inauma Sana na lazima tumshukuru Rais Samia kwaajili ya "Royal Tour Film "
Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,Lakini Sisi Tanzania pamoja na kuwa Wapili kwa Vivutio tena vya asili duniani tunaambulia watali 2m tu,Nadhani kunasehemu tulikwama na ndio Sababu ya Mungu kumleta Rais Samia na yeye kutuletea "Royal Tour Film. "Mnaolalamikia gharama za Tour rudieni kusoma andiko hili,
.........Kazi iendele.........
C&P
Huduma zetu ni mbovu...
Wakaribishaji wetu (Port of Entry) ni wabovu, wana lugha chafu, hawajali, wapenda kitu kidogo
Polisi wetu huwasumbua sana Tour Operators
Wizi
Ubovu wa miundombinu kuanzia wanapoingia nchini hadi huko kwenye Utalii penyewe
Fukwe zetu ni chafu sanaa
Siasa zetu ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Viva Samia VivaClick to expand...
BrilliantDaaah
kwa Uchambuzi huu nimemwelewa Mama,
Kumbe Watali wapo wengi sana shida nani wa kuwaita waje ndio shida,
Naendelea kusema huyu mama ataipaisha hii nchi kiuchumi kirahisi sana,
Utalii unafaida ila kweli maeneo husika yanabaki matupu,Ukitaka kuona utalii hauna faida, angalia maeneo yenye hivyo vivutio iwe waterfalls, and mbuga, nk. Ziko maskini, hata barabara zake mbovu tu.
Tutafika tu huko mkuuHii biashara ya utalii tunaifanya kwa kuungaunga tu, no professionalism. Kuna utalii wa mikutano(conferences) ambao sasa hivi Rwanda ndio anafanya sana, unaifungua Rwanda duniani.l, sisi tuna kila fursa za kufanya vyema ila tuko usingizini.